Msaada wa kuweka background text kwenye ms publisher

Msaada wa kuweka background text kwenye ms publisher

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,554
Reaction score
5,680
Naombeni anayejua namna ya kuweka zile backgroun text kwenye publisher anielekeze mfano vyeti vya necta vinavyokuaga kunakua na maneno yanaonekana kwa chini madogo cheti kizima
 
Ukielewa hapa fanya Sasa usipoelewa uliza tena
Inaitwa watermark kwenye msword unapata kwenye page layout the watermark Kisha custom Kisha type neno au weka image unayotaka iwe watermark hapo kwenye document yako

Kwa mspublisher
Angalia hapa ukishindwa ntatafuta Muda nitupie tumaelezo kidogo
okRw5IQ
 
Link haifunguki

Ku access background ya MS Publisher, bonyeza Ctrl+M fanya yako halafu bonyeza tena the same kurudi kwenye front face
 
Back
Top Bottom