Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari wadau,
Kuna wazo ninalo hapa, naomba kujua kama ni hitaji, au nafikiri tu...
Ukiwa na biashara yako, iwe mgahawa au genge au chochote kile. Kila wateja wanapokuja, unawahudumia. Mwisho wa siku unahitajika kufanya tathmini ya watu wanaonunua kutoka kwako.
1. Nafikiria mfumo wa kuweza kucapture data za wateja. Kila wanaponunua kutoka kwako, unachukua important information kama vile muda, alichonunua, jinsia, ikiwezekana email na namba ya simu.
2. Backend itakuwa connected na simu via app ntakayokupa. In that way, simu yako itakuwa kama gateway ya kuwasiliana na wateja wako. utakuwa na uwezo wa kucompose SMS, kuschedule na kuwatumia watu wengi kwa awamu moja. For more advanced cases, tutaweza kuwire Point of Sale na hiyo simu, kiasi kwamba kila transaction itatuma SMS receipt kupitia namba yako ya kawaida. Hii itapunguza gharama, kwa kuwa utakuwa unagharamikia tu normal SMS bundles ambazo siyo ghali kama bulk SMS tunazozijua.
3. Utakuwa na uwezo wa kufanya campaigns mara kwa mara. Kwa mfano, umefungua tawi mpya ya hoteli posta, na unataka wateja wako wajue hili. Unawasha simu, unalogin kwenye app, unaschedule SMS iwafikie wakiwa kwenye foleni kwenda nyumbani. Mda ukifika, kitu kinaingia inbox, ikimtaja mteja kwa jina lake na kumwagia vitu muhimu.
4. Scenario nyingine ni matokeo ya mtihani. Kwa mfano veta. nakubali kuwa bulk sms ina gharama, na sidhani kama itakuwa economically feasible kwa chuo kugharamia SMS kwa ajili ya wanafunzi wote. Instead, tunaweza kufanya mchakato huu:
a. Mwanafunzi anatuma maneno haya "MATOKEO 20191023 100200" kwenda namba ya simu 0780100200 ambayo ndio namba ya VETA kwa ajili ya huduma kwa wateja.
b. System inadadavua ujumbe na kutambua keywords (maneno muhimu) ifuatayo
MATOKEO inaonyesha kwamba aliyetuma message anatafuta matokeo
20191023 ambayo ndio namba ya mtihani, muhula na center ilikofanywa
100200 ambayo ndio namba ya mtahiniwa
Alafu system inarejesha matokeo inavyopaswa.
Lakini je hili ni hitaji letu hapa Bongo?