Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini. Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point. Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa...
0 Reactions
4 Replies
468 Views
Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
5 Reactions
8 Replies
663 Views
Source: Twitter 1. Notch kubwa kwenye iPhone Flagship za Apple kama iPhone X series, 11 series, 12 series na 13 series zimekuwa zikija na notch kubwa kwa juu kwenye display ambayo imekuwa...
30 Reactions
71 Replies
10K Views
What Ai AI stands for Artificial Intelligence, which refers to the ability of machines to perform tasks that typically require human intelligence, such as learning, problem solving, perception...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Windows 10 Genuine Installation - 20,000 Tsh Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
0 Reactions
2 Replies
265 Views
Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
3 Reactions
10 Replies
556 Views
Wakuu katika pita pita zangu nimekutana na hii Mic je katika kazi zangu za Online TV itanifaa
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF , Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako , Kuna watu kadhaa...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Ruby ni moja language ipo underrated sana na developer wengi Side project nyingi hasa web development na API mimi huwa natumia ruby, pia nichanguo langu la kwanza Ni mara chache sana unakutana...
1 Reactions
2 Replies
467 Views
Pata Adobe Photoshop 2025 kwa 20,000 Tsh. Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
1 Reactions
5 Replies
314 Views
Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko. Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
wakuu habari za wakt huu, Nina shida kidgo kwenye PC yangu Jana nilikuwa naangalia movie usiku ilipoisha nikazima nikalala sasa Leo mimeamka nawasha haiwaki kbsa ila port za.usb zote zinafanya...
2 Reactions
12 Replies
456 Views
Hii hapa chat app maoni yenu https://first-app-7c347.web.app/
3 Reactions
19 Replies
1K Views
WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
0 Reactions
8 Replies
633 Views
Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu. 1. Ubora wake 2. Upatikanaji wake 3 bei yake. 4. Wapi niipate NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
0 Reactions
6 Replies
852 Views
China imechukua hatua kwa kupiga marufuku rasmi matumizi ya chips (vipuri vya kielektroniki) kutoka kampuni ya Marekani, NVIDIA. Hatua hii inaonesha wazi kuwa China haiko tena tayari kutegemea...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
M.2 SSD Kile Unachohitaji Kujua Kuhusu Storage inayosifika kuwa na speed ya hali ya Juu kwa Kompyuta yako .... Katika ulimwengu wa teknolojia ya kompyuta, masuala ya kasi ya ufanyaji kazi na...
1 Reactions
0 Replies
351 Views
Huwa nahisi ni hamna haja ya kufuta record permanently kwenye database Ni bora item uka i mark deleted kuliko kuifuta kabisa
2 Reactions
3 Replies
312 Views
Za Weekend Wakuu! Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…