Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

HABARI YAKO. Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Infinix hot 50 pro+ Sifa zake; Display, Amoled Resolution, 1080x2436 pixels OS, Android 14 Chipset, mediatek helio G100 (6nm) CPU, (2x2.2 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55) GPU, Mali G57-MC2...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu simu yangu ya Redmi 10C "inastack" sana, Shida inaweza kuwa nini? Simu hii nimeinunua mwezi wa saba mwaka jana , hata haijamaliza mwaka. Matumizi yangu ni ya kawaida sana, wala huwa...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo nakuambia njia salama za kuwezesha kuhamisha message zilizopo kwenye simu moja kwenda nyingine bila ku forward!!. Inawezekana umenunua simu mpya na unataka kuhamisha message zako Toka simu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam Members. Nipo mbali na home kwa sasa nikijaribu kutafuta grease ya maisha, sasa mimi hua siyo mtu wa kuingiliana na watu au kupiga story sana isipokuwa kupeana salamu inapobidi kwa...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Internet Download Manager Software (IDM) ya Windows OS - 20,000 Tsh. Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
0 Reactions
8 Replies
504 Views
Hbr wadau, Kwa anaefahamu namna ya kutumia luku ya jirani kuweka umeme naomba anijuze. Hizi luku mpya portable za TANESCO zinaruhusu hiyo kitu, kwa anaefahamu anisaidie Ahsante
0 Reactions
134 Replies
70K Views
Kazi gani unayo (Software issues) unahitaji msaada? Nikusaidie. blog issues website issues softwares issues (Windows 10,11) social media management Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh *Sifa zake Video converter video downloader Picture converter Audio converter Document manipulation Mawasiliano: 0756704145 Eneo...
1 Reactions
1 Replies
530 Views
Mimi nimekulia kwenye simu zile za kukoroga kama unapiga hendeli Hizi simu za smart sizijui sana. Simu yangu haliishi lisaa inaniambia kuna junk files nizifute Nikiangalia unakuta junk zinakuwa...
0 Reactions
11 Replies
545 Views
Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads, email na n.k Karibu usaidiwe unachotaka kwenye IT kama maswali utajibiwa Mawasiliano:0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
0 Reactions
1 Replies
259 Views
There are many ways to create videos for YouTube. The favorites ones include using a Flip camera or recording a PowerPoint presentation using Camtasia screen capture software. But there are many...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
USINUNUE LAPTOP MPYA KABLA HUJASOMA HII MAKALA MWONGOZO WA 2025 KWA KINA Kununua laptop si tu suala la bei au jina kubwa. Ni uwekezaji. Na kama ilivyo kwa uwekezaji wowote โ€” unahitaji maarifa...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika dunia ya leo ya kidigitali, social proof ni kila kitu. Watu wanataka kuonekana wanafuatiliwa, na biashara nyingi zinahitaji followers ili kuwashawishi wateja wao. Hii ndiyo sababu kuu...
1 Reactions
11 Replies
803 Views
Kila mfanyabiashara ana ndoto ya kuona mauzo yakifumuka hadi target aliyowekaโ€Šโ€”โ€Šiwe ni kuuza bidhaa 100 kwa wiki au kufikisha milioni 10 kwa mwezi. Lakini ukweli ni kwamba wengi hushindwa sio kwa...
3 Reactions
4 Replies
556 Views
Windows App Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh. Programu ya kuedit, kutengeneza na kazi zingine za PDF faili. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
1 Reactions
4 Replies
341 Views
Matumizi ya akili mnemba yaani artificial intelligence (AI) yakiendelea kukua kwa kasi binafsi nadhani ni wakati sahihi mtandao wa jamii forum kuwa na AI yake kama ilivyo kwa grok ya X(zamani...
7 Reactions
15 Replies
916 Views
Wakuu habari, Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao: Nijiwekee...
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ