Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Screen yangu hiyo imepasuka na Niko Dodoma,mwenye connection wapi naweza,tafadhali nisaidie
1 Reactions
2 Replies
349 Views
📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA 1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro) Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
SASA RASIMI PI IMEKUWA LISTED KWA THAMANI YA $0.2 ILIPANDA MPAKA 3 ILA SASA INASHUKA IPO 1.2 NA ITAZIDI KUSHUKA SABABU WATU WANAUZA SANA CRYPTO NDIO ILIVYO PI ILISHINDWA MALENGO YAKE TOKA ZAMANI...
1 Reactions
1 Replies
388 Views
Habari, Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo. Login - Peloo Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara. Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau Kwa wale wajuzi wa vifaa vya umeme naombeni mnijuze hicho kifaa kinauzwa bei gani. NEW
6 Reactions
157 Replies
4K Views
Watu wengi wanadhani Productivity ni kuwa na Setup yenye makorokoro mengi Ni vizuri ila anza kulingana na Budget yako Picha kwa Hisani ya Pinterest Mfano: nina 1.5m Naanza na👇🏾 ❍ Kiti →...
8 Reactions
14 Replies
891 Views
Anaandika bwana Kenge, Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na...
58 Reactions
317 Replies
29K Views
Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Matumizi Yako Ni Yapi? Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming –...
3 Reactions
5 Replies
913 Views
Je Ni nunue Laptop au Desktop? Swali Gumu Sana Mpaka Ujue Ukweli Huu wa Kifundi Usioambiwa Mara Nyingi Kwa nini laptop yenye "Core i7" haifanyi kazi sawa na desktop yenye "Core i7"? Kwa nini...
5 Reactions
8 Replies
902 Views
“Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri...
1 Reactions
1 Replies
389 Views
Wakuu kama title inavyoeleza naomba kujua tofauti iliyopo kati ya audio flac file na mp3 320kbps ....... Na sehemu website au apps gani naweza download hizo flac file zenye quality nzuri...
0 Reactions
7 Replies
499 Views
Habari zenu wakuu! For time being nimekua nikiwaza kufungua blog lakini changamoto imekuwa ni aina gani ya blog inayolipa! Ni nini watu wanapenda ili nikiweka katika blog yangu niweze kupata...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Je unahitaji kutengeneza mji wako kwa mfumo wa pesa kupitia chatGpt ni rahisi Sana, unachotakiwa ni kufanya yafuatayo ✋ ⚡ Fungua app ya chatGpt ⚡ Andika prompt ( maelekezo ya Chochote unachotaka...
0 Reactions
5 Replies
733 Views
Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani! N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI...
23 Reactions
451 Replies
37K Views
The Next Big Thing in Tanzanian Agriculture? An App Connecting Farms to Forks Tanzania's agricultural sector is the backbone of its economy, employing a vast majority of the population and feeding...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau! Leo tunazungumzia mjadala usioisha – iPhone vs Samsung! ⚔️ Unapochagua simu, unazingatia nini zaidi? Ubora wa Camera, muundo, kasi, betri, au Operating system? iPhone: iPhone...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nauliza hiki kifaa aliewahi kukitumia anipe uzoefu wake je unlimited yake ni ya kweli tofauti na airtel ambao wanabana speed ukizidisha matumizi
2 Reactions
18 Replies
810 Views
Guys kwema! Sorry, I'm looking for a forum special for discussing bugs and giving suggestions on the jamii forums app. Thanks.
1 Reactions
4 Replies
323 Views
DNS ni Nini na Inafanyaje Kazi? By MALEKOGJ Unapofungua browser na kuandika “x.com” au “google.com”, Laptop yako haiifahamu jina hilo kama lilivyo. Inahitaji anwani ya IP (mfano...
5 Reactions
4 Replies
675 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…