Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jinsi ya Kurekebisha Windows Bila Kupoteza Faili Zako Unahitaji tu USB Drive Kompyuta yako haifunguki tena? Unakutana na Blue Screen of Death kila unapo-washa? Usikate tamaa. Unaweza...
2 Reactions
3 Replies
641 Views
Mfumo Bora wa Billing, Receipt na Invoice kwa Biashara Ndogo Nchini Tanzania (Bila Kulipia App) Na MalekoGJ Katika mazingira ya biashara ndogo Tanzania, kuna dhana iliyoenea kuwa ili kuendesha...
2 Reactions
1 Replies
537 Views
πŸ›°οΈ JINSI YA KUTRACK LOCATION YA MTU KWA KUTUMIA SIMU YAKO (YOUR DEVICE) πŸš€πŸ”₯ πŸ“Œ Kabla ya Kuanza: Ni muhimu kufanya tracking kwa ruhusa ya muhusika ili kuepuka masuala ya faragha na sheria. πŸ™Œ --- πŸ“...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
3 Reactions
57 Replies
233K Views
hey guys ...... Thefreedom is here ........ leo nipo hapa kuwaonesha na kuwafunza hasa kwa wale watanzania wezangu ambao hawana kabisa knowledge na hacking. Sasa leo nimekuja kuwafunza kitu...
9 Reactions
90 Replies
13K Views
Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24). Unaambiwa mapato hayo...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora. Katika maduka ya bidhaa mpya...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimeamka salama. Nililala saa 8 usiku, baada ya kikao kirefu na mmarekani mmoja, hapa nkishamaliza kuandika nazama tena usingizini kidogo. Leo katika...
3 Reactions
8 Replies
718 Views
wakuu heshima yenu,naomba msaada wa kueleweshwa ni namna gani naweza kuinstall vlc media player katika hisense ambayo ni smart tv? kwa maana haina playstore hivyo siwezi kudownload adroid based...
0 Reactions
5 Replies
865 Views
Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu imezima ghafla na haiwaki tena. Mafundi wamejaribu kuwasha imegoma. Tatizo nini labda wangwana
0 Reactions
5 Replies
466 Views
Habar wana jamv naitaj kujua sabufa aina ya pineetech pt v3 zinamfumo wa remot na bluetooth kwa waliotumia aina hvyo ya bufa msaada
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu ...
2 Reactions
5 Replies
382 Views
Ni LENOVO mpya kabisa ila nikijaribu kuinstal inagoma.Mpka Bluetooth nimejaribu kudownload inagoma. Nafanyaje wakuu?
3 Reactions
5 Replies
296 Views
wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu NAWASILISHA
6 Reactions
12 Replies
931 Views
Wakuu habarini za wakati huu, ninahitaji router ya Airtel, kuna nyingi nimeona zinauzwa 110,000. naomba mnijuze mambo yafuatayo. je, hiyo 110,000 ni bei ya router(device) au ni ya vifurushi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana...
1 Reactions
11 Replies
557 Views
Ni vodacom Nimelipia speed ya 20mbps 115,000 kifaa nimeuziwa 105,000 ni 4g
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Laptop au wanapenda kuita Personal Computer(PC), ni kifaa muhimu sana kuwa nacho hasa kwa kijana wa sasa anayekwenda na kasi ya Dunia katika nyanja mbalimbali za maisha. Wengi wetu hatumiliki PC...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
simu za mkopo Hizi ni simu ambazo watu ukopeshwa yaani ulipia kiasi kidogo na kilichobaki ulipia kidogokidogo wanapotumia simu zao yaani zimwekewa mfumo ambao ili utumie lazima ulipie kiasi fulani...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…