Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani.
Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks.
Kila API ilikuwa kama mlango...
Urahisi wa Kidijitali Unaokuja na Hatari Zake
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, QR codes zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Zimeenea kwenye menyu za migahawa, mabango ya matangazo...
Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara...
Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI).
Amesisitiza kuwa AI...
Peugeot ni kampuni ya Kifaransa inayodili na utengenezaji wa magari ya umeme. Kwenye picha ni gari aina ya Peugeot e 3008 New Model (2024)
SPECIFICATIONS ZAKE ๐๐
Dimensions: 4,542 mm x 1,895 mm...
What is the 'gentle singularity' of Sam Altman the CEO of OpenAi?
by Marco Trabucchi
13 June 2025
SAM ALTMAN, CHIEF EXECUTIVE OFFICER, OPEN AI
ChatGpt's dad outlines a scenario where...
Browser ya Google chrome ni apps maarufu ulimwenguni karibu watu wengi tunatumia hii apps kwenye vifaa Mbalimbali kwani ni nyepesi, ufanisi Bora, muonekano wake wa kuvutia nk.
Lakini Kuna apps...
Hizi sio ndoto Tena au Zile movie za kisayansi (Sci-fi) ni maisha Halisi Sasa ambapo Makampuni makubwa Mbalimbali yameleta Teknolojia tishio ambazo zitakazokuja kutikisa Dunia.
Kampuni Mbalimbali...
AI Chatbots Wanaweza Kukufuatilia โ Isipokuwa Hii Moja
Lumo Chatbot ya Kipekee Inayolinda Faragha Yako kwa Kiwango cha Kitaaluma
Je, umewahi kujiuliza mazungumzo yako na chatbot yanaishia wapi...
Leo nakuletea apps 5 ambazo ni muhimu sana kuwa nazo kwenye simu yako kwa mwaka 2025 kama unahitaji Simu yako kuwa na muonekano wa kipekee sana ๐.
Apps hizi kwa watumiaji wa simu za Android na...
Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.
McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo...
Habari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya...
Kama unahitaji kumiliki simu ya Tecno Kwa mwaka 2025 basi Leo nakuletea list ya simu Bora Toka kampuni ya Tecno ukitumia utaweza kuenjoy.
Hapa nimekuletea simu ni nzuri kuanzia upande wa...
Salaam wana tech.
Kama heading inavyosomeka hapo juu, huu uzi utajikita kwenye 3D printing, designing & etc.
Lengo la kuanzisha huu uzi ni kutokana na umuhimu wa ukuaji wa teknolojia ya 3D...
Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani โ hata kwa...
Najua watu wengi hawajui kama Tanzania Kuna Kiwanda cha kutengeneza simu janja (smartphone) โ umeshtuka sio โ๏ธ.
Nchini Tanzania mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga kama siku utafanikiwa kutembea...