Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga Na hamna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wakuu. Natafuta shure wireless microphone, ni duka naweza kupata hapa Daresalama. nimepita maduka kadhaa bila mafanikio.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba mwenye kuweza kuwa na usb ya iana hii, au zinapatikana wapi kwa dar, ni ya ipod, niliyokuwa naitumia imeharibika.nitashukuru.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani naomba kuuliza nitaweza kusolder kwa soldering gun bila yakuwa station na kama ndiyo je station ina matumizi gani? Na inapatikana kuanzia kwa Tshs ngapi?
2 Reactions
44 Replies
6K Views
wakuu samahanini nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu course ya bachelor of science in information system kweny upatikanaji wa ajira zake na hata uwezo binafsi wa kujiajiri..m ni first year mtarajiwa
3 Reactions
22 Replies
5K Views
SITTA TECHNOLOGY tunasuka inverter zenye ubora wa hali ya juu kuanzia 50W-5000W na warrant ya miaka 3, hata ukiwa betri ya 6v inatoa umeme wa 220V,inakula umeme vzuri,si rahisi kuungua zaidi ya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau mwenye connection ya kupata betri ya mnara
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello wanaJamiiForums, Bila kupoteza muda twende kwenye point ya kichwa hapo juu. Nitaeleza short jinsi ya ku access kozi yoyote kutoka UDEMY for free bila payment yeyote. Watu wengi wamekua...
5 Reactions
35 Replies
9K Views
Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone...
11 Reactions
66 Replies
8K Views
Picha ya hapo juu ulikua ni Uzi wangu ambao niliuleta hapa hapa jamii forum mwaka 2017 mwezi wa 11 ,,kipindi ambacho nilikua nimechoka kufanya kazi niliyokuwa naifanya na nikawa naskia skia eti...
7 Reactions
77 Replies
18K Views
Naombeni mnisaidia jinsi ya kudownload music kwa spotify bila ya kuwa na premium account kwa kupitia simu au hata laptop
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Bila shaka mtakuwa mmesalimika nyote ma bibi na mabwana husiken na kichwa cha habar hapo juu. Kwa yeyote anayefaham apps nzurambayo kama...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu Kwema. Youtube ndio Application Namba Moja ya kustream na kuwatch Music bila Shida yoyote, Naomba Msaada Wa Kujua Namna Ya Kuangalia Video Youtube Huku Nikiendelea Kufanya Vitu vingine...
1 Reactions
49 Replies
12K Views
Binafsi natumia MB 600 hadi 1.5 GB kwa mwezi kuna kipindi hata mwezi hauishi nimesha maliza had GB 2. Njia gani nitumie nipunguze matumizi ya bando? Na wewe unatumia kiasi gani cha bando kwa...
2 Reactions
211 Replies
26K Views
Kujua aplikesheni zinazotumia zaidi data. Nenda sehemu ya settings(Mipangilio) Kisha bonyeza kitufe cha Network & internet/connections(mtandao na miunganisho) Kisha bonyeza Data Usage(Matumizi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau cm yenyewe ni tecno m3 imeanza tatizo hilo baada ya kuflashiwa coz ilipatwa na tatizo la bootloop, nimejaribu kuinstall custom rom nilioyoipata toka site moja ya nigeria [keslar rom] ina...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wanajamvi kuna kipindi niliona thread ya code za kuweka kwenye simu ili usipatikane kwa muda,naomba mwenye kuzijuwa hizo code au aniunganishe kwenye thread husika.
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Sambamba na huyo mtaalamu ambaye nataka atengeneze Jalada lenye mvuto nahitaji kujua kama unaweza kukitengeneza kitabu kupitia Microsoft Word pekee au ni lazima kiwekwe kwenye page make,r ni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…