Nahitaji mtaalamu wa Kudesign "JALADA" la kitabu changu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mtaalamu wa Kudesign "JALADA" la kitabu changu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ahmad Mussa, Dec 8, 2011.

 1. Ahmad Mussa

  Ahmad Mussa Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sambamba na huyo mtaalamu ambaye nataka atengeneze Jalada lenye mvuto
  nahitaji kujua kama unaweza kukitengeneza kitabu kupitia Microsoft Word pekee
  au ni lazima kiwekwe kwenye page make,r ni matumaini yangu kuwa nitapata
  majibu yenu.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Word ina limitations nyingi unless hutaki a pro looking book layout and design
   
 3. kajiti

  kajiti Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nitumie e_mail address yako nikupe samples za kazi mojawapo niliyodesign
   
 4. Ahmad Mussa

  Ahmad Mussa Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu nimekuPM hivyo nasubiri kwenye Email yangu.
   
 5. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huwezi kudesign cover bila kujua what has to be there. Mkuu PM me to tell me more.
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu shida yako ni cover design au software itakayotumika? PM me unipe brief.
   
 7. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni PM email yako na maelezo ya hicho kitabu chako nikutengenezee Cover la kuuzia!Satisfaction guaranteed!Belivdat
   
 8. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Ahmad Mniachi, nimesoma hadithi zako nyingi magazetini ni nzuri zinavutia
  ni Mwandishi mwenye kipaji lazima nikusifie. Ninachokushauri ili kuondoa usumbufu
  kwa Ma designer hapa ni vizuri hata ukitoa sehemu ya hiyo story ili watu wapate picha
  wenyewe ni jalada la aina gani linahitajika.
   
 9. Ahmad Mussa

  Ahmad Mussa Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ok nimekuelewa mkuu, nitalifanyia kazi ombi lako
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu si ungetoa intro ya Kitabu na mudhui yake. na kinatakiwa kuwaje
  • Ni acadamic, ni fiction. Ni reference ya ofisi , kampuni au chama cha siasa?
  • Tayari unazo tiitle na picha za kutumika au unataka msanifu jalada ndio aumize kichwa?
  • Tayari una idea ya rangi unayotaka itumike au unataka msanifu jalada ndio aumize kichwa?
  • urefu, upana wa kitabu ukoje na kina kurasa ngapi?
  • etc (yaani nyambuisha zaidi mahitaji yako tujue kama hata kina mtazamaji tunaweza kujaribu kuogelea)
  Binafsi sio mtaaam nimeanza kuwa na interest na mambo ya grahics miezi michache tu. So ukifafanua zaidi itapendeza nijipe cha challnege . Au kama unataka kujaribu pia kufanya mwenyewe tafuta program ya adobe inaitwa Idesign. au Photoshop

  Mhh hii ndo faida a hasara ya internet anybody can do anything .....

  Lakini mara nyingi ili upate kitu kizuri itapendeza upokee na mawazo ya desinger wengine. Unaweza ukakuta umependa Rangi ya jalada aliyotumia mtazamaji ukapenda Font aliyotumia XyZ na ukapeda mpangiilo wa maneno yalivyokaa(typography) aliyotumia ZZZZ.

  NB
  usisahau karne hii E-book pia kama unalenga na soko la nje Kina Amazon na ebay na googlebooks ndio wauzaji wakubwa wa vitabu katika mfumo wa digital.
   
 11. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  you really like bullets and numbering.
   
 12. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,125
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ebwana na mm ninashida ya kujua namna ya kutengeneza kitabu nitaku pm.plz naomba unielekeze
   
 13. Ahmad Mussa

  Ahmad Mussa Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni fiction. Ninachotaka kujua kutoka kwako ni utaratibu wa hao watu wa E- books
  unakuwaje na wanakulipa vipi kwani wanaweza kuwa ndio wale matapeli wa mtandao.
   
Loading...