Msaada wa kushusha music kwa spotify bila ya premium account

Hamna kitu kama hicho, kusikiliza mziki offline ni feature iliyo kwenye premium
Kaka kadi yangu ya CRDB inafail kufanya malipo na ni VISA, shida inaweza kuwa nini? Na nilikuwa nakatwa before nikaja nika cancel after kuuza simu sasa hivi na connect inagoma.. any help?
 
Kaka kadi yangu ya CRDB inafail kufanya malipo na ni VISA, shida inaweza kuwa nini? Na nilikuwa nakatwa before nikaja nika cancel after kuuza simu sasa hivi na connect inagoma.. any help?

Kama ulicancell subscription jiunge upya jaza details itakubali.
Na ukafanyie kwenywe website na sio app
 
Back
Top Bottom