Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero
7 Reactions
116 Replies
4K Views
Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo tupeane ujuzi kuhusu AC aka viyoyozi je ni kweli huwa zinatumia unit hadi 35 hadi 40 kwa zikiwasha masaa 24? Wenye AC mje mtupe ushuhuda huwa mnatumia vipi na huwa inatumia units ngapi kwa...
9 Reactions
68 Replies
18K Views
Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar. startup kubwa huanza na swali dogo. Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant...
2 Reactions
5 Replies
789 Views
Habari ya majukumu wadau. Samahani naomba kufahamu member yeyote ambaye anatumia Waka tv kwenye android tv box anisaidie namna ya kulipia subscription. Kila nikijaribu sipati code ya registration.
1 Reactions
2 Replies
341 Views
Jinsi Nilivyogeuza Kompyuta Yangu Kuwa Ngome ya Faragha (Privacy Fortress) Kama wewe ni kama mimi, unaitumia kompyuta kila siku. Lakini kila mara nilikua nahisi kama kuna "jicho la siri"...
1 Reactions
1 Replies
559 Views
Nimeichoka Samsung Galaxy nataka kununua tu Tecno munanishaur je
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Wana JF habari Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo...
2 Reactions
1 Replies
603 Views
🗯️ Hii ni habari njema kwa wale wapenzi wa simu za Huawei hatimaye, Google wanarudisha huduma ya Playstore kwenye simu za Huawei kuanzia mwezi ujao. 🗯️ Google inarejesha huduma zake mbalimbali...
2 Reactions
11 Replies
888 Views
Kwanza kabisa tufahamu tupo mwaka 2019 na teknolojia imebadilika kwa kiasi kikubwa na watu wanaamia kwenye ulimwengu wa flat panel (maarufu kama flat screen) kama kuna watu wenye zile za zamani...
78 Reactions
242 Replies
123K Views
IoT ni nini? Internet of Things (IoT) ni teknolojia inayounganisha vifaa mbalimbali kwenye mtandao ili viweze kuwasiliana, kubadilishana taarifa, na kufanya kazi bila uangalizi wa moja kwa moja...
3 Reactions
3 Replies
425 Views
Quantum Computing ni nini? Tofauti na kompyuta za kawaida tunazotumia sasa (classical computers) ambazo zinategemea bits (0 au 1), Quantum Computers zinatumia qubits ambazo zinaweza kuwa 0 na 1...
3 Reactions
4 Replies
431 Views
ChatGPT ndio inayoongoza kwa matumizi ya AI kote ulimwenguni mwaka 2025, ikiwa na alama ya jumla (Final score) ya 0.81 na watu zaidi ya mara bilioni 46.59 wanaoitembelea kila mwaka. Hii...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali...
3 Reactions
8 Replies
873 Views
Roboti ni mashine zilizo tengenezwa na binadamu ili kurahisisha kazi mbalimbali. Miongoni mwa aina nyingi za roboti zilizopo, Humanoid Robots ndizo zenye mvuto mkubwa zaidi kwa sababu zinabuniwa...
1 Reactions
0 Replies
403 Views
Kwa Nini Sihifadhi Tena Mafaili Muhimu Kwenye Memory Card Kuna wakati niliamini kabisa kuwa memory card (SD au microSD) ndiyo njia salama zaidi ya kuhifadhi mafaili. Zilikuwa ndogo, rahisi...
1 Reactions
0 Replies
463 Views
Habariini. Natumia Infinix hot 30i. Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom. Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA...
1 Reactions
7 Replies
819 Views
Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa.. Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Jinsi ya Kuandika Kitabu: Mwongozo Kamili Kwa Waandishi wa Kila Kiwango Kuandika kitabu ni ndoto ya wengi, lakini mara nyingi inaweza kuonekana kuwa kazi ngumu. Hata hivyo, kwa mwongozo sahihi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…