Hellow jf,nadhan mpo poa..Ninataka nitengeneze project ikifika mwez wa 12,mara ya kwanza niliunda android school app ambayo ilikuwa inasaidia wanachuo wa chuoni kwetu wakitafuta...
Wakuu habari,
Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell.
Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla.
Kimsingi...
Wakuu habari .
Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel.
Nikiwa nimepanga majina ya wanafunzi, nimeweka marks za kila somo, jumla, wastani, Daraja la ufaulu na , nafasi aliyoshika kila...
Spotify imefika ipo kwa Android na iOS I know kwamba apple music nayo ipo available mpaka kwa android, sema kati ya hizi Platforms mbili zote nmetumia ila naona niko inlove na spotify sema mda...
Habari wakuu..
Naomba kufahamishwa maeneo pulic, tulivu na salama ndani ya Dar, ambayo mtu unaweza ukaenda, ukaplug laptop yako na ukafanya kazi zako bila bugudha yoyote. Iwe kucode, kuandika...
Habari wakuu.
Naomba kufahamu kwa hapa Dar napata wapi Sound Bars za viwango za kampuni ya JBL.
Nimejaribu Mlimani city ila nikakuta wana options chache. Naomba kujua dedicated shop ya sound...
Hii simu ina ubora kweli au ni mafeki ya kichina?
TZS 1,377,195.78 34%OFF | Global Rom OnePlus 8T 12GB 256GB Snapdragon 865 5G Smartphone 120Hz AMOLED Fluid Screen 64MP 65W Warp Charge...
Kama tunavyojua adsense ni mtandao bora wa matangazo katika tovuti/blogu zetu lakini wanavigezo vingi licha ya kuwa unaweza kukubaliwa lakini bado akaunti yako inaweza kuwa katika risk mda wote...
Habari za jioni wana jamvi, natumai hamjambo.
Nahitaji msaada wenu, nilinunua PS4 kwa ajili ya matumizi ya nyumbani lakini baada ya ku connect na Internet akaunti ime block, baada ya kurudi kwa...
Yaani mimi ninajifunza web design sasa nimekutana na app ya github ila sijui matumiz yake ila nasikia ni muhimu kwa maprogrammer naomba mnijuze vyote kuhusu github na nn nahitaji kujifunza kuweza...
Hellow it's long time sijawa active humu haswa hili jukwaa la tech..baada ya jukwaa kuvurugika sioni nyuzi zimazohusu Cyber security (hacking,other IT stuffs)
Siwaoni akina x0z,rootadmin, Mr...
Habari zenu wadau
Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi?
Je itakuwa ni disk moja au mengi?
Je maximum hard disk ni kiasi gani?
Je kwa Bongo yanapatikana?
Habar za asubuhi wakuu,
kama kicha cha habari hapo juu kinavyojieleza, mara kwa mara nimekuwa nikisoma mabandiko ya watu humu jukwaani yakielezea uzuri na upekee wa simu zilizokuwa rooted na...
Heshima kwenu wakuu
Naomba msaada, hivi nawezaje kudownload movie za netflix
Yaan nna laptop,nataka nidownload movie kutoka netfl;ix na kulisave file la iyo movie kwenye laptop
Hii inawezekana...
Wadau habari za jioni!
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
PC yangu imepata tatizo la ghafla la kuwaka na kuzima,Yaani kila ninapoiwasha kwenye screen haionyeshi kitu chochote zaidi ya...