Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Umewahi kujiuliza ni vipi wamiliki wa mtandao wa kijamii wa WhatsApp wanavyopata faida ilhali huduma hiyo inatolewa bure kwa watumiaji? "Facebook na Instagram ndizo madirisha ya duka ilhali...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
News Analyst: all range of iPhone 14 will go up in price, iPhone 14 Pro Max may cost more than $2000 Recently, insiders wrote that future iPhone 14 Pro and iPhone 14 Pro Max will rise in price...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua...
2 Reactions
3 Replies
724 Views
Nawezaje kutoa contacts zenye this feature on my contact list? Maana unaamtafuta mtu ambaye clearly anakutafuta on her / his terms, na sio vibaya but mimi naombeni mnisaidie Anywhere I can filter...
0 Reactions
3 Replies
633 Views
Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Natumia tecno RA7 kuna wakati inafuta contact nilizosave sijui shida ni nn wajuvi tupeane ujuzi
0 Reactions
13 Replies
759 Views
Naomba kufahamu kama naweza kuweka android version 12 kwenye Samsung S9. Ahsanteni.
1 Reactions
4 Replies
674 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo...
1 Reactions
6 Replies
636 Views
Msaada ninapoweza kupata tachi ya hiyo simu hata kama ni used ili mradi haina crack .napatikana Dar
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Habar ndugu zang wana JF, Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge. Ni kwamba ilitokea tu siku moja, nikijarib kupga picha Camera haifunguki...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie. Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Machine Gun Wielding Robot Of The Nigerian Army This UGV (Unmanned ground vehicle) can carry food, water, ammo, and of course a .50 calibre machine gun. Troops control it with a simple tablet...
1 Reactions
2 Replies
730 Views
.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi, I am a beginner in Python and was facing some issues with the topic frozenset() in Python, I also referred here but couldn't get what I was looking for and am still confused with this - I...
1 Reactions
4 Replies
933 Views
HP ELITE BOOK G3 RAM: 8GB STORAGE: 250SSD PROCESSOR: Core i7 6gen 2.8Ghz TOUCH SCREEN 14" O.S : Windows 10 Location - DSM Price: 800k Still Working and in Good condition. Serious buyer call...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Habari wazee wa code. Nahitaji programmer wa VB kuna kazi nataka nifanye nae awe dar. Namba zangu 0652247221.
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Wakuuu salaam. Simu yangu ni infinix hot 8. Ina mwaka mmoja tu tangu niinunue. Hapo kabla ilikuwa iko vizuri tu Ila Cha ajabu ilianza kugoma ku connect Bluetooth . Mwanzoni nilikuwa nacheza nyimbo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naomba ushauri juu ya simu yenye Camera nzuri kwa ajili ya kupiga picha za biashara/kazi. Nina Salon ya kike inahusika na make up, kucha na ususi wa nywele. Kama mnavojua...
3 Reactions
48 Replies
16K Views
........
1 Reactions
9 Replies
973 Views
Kama inavyoonekana hapo chini. Hiyo helcopter sioni engine ikizunguka ila inaendelea kuwa hewani. Je hii ikoje?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…