Itakuja kukuokoa pakubwa saaana sanaNatumia tecno RA7 kuna wakati inafuta contact nilizosave sijui shida ni nn wajuvi tupeane ujuzi
Ulisajili gmail kwa details na e mail yako?Natumia tecno RA7 kuna wakati inafuta contact nilizosave sijui shida ni nn wajuvi tupeane ujuzi
haya ndiyo maelezo ya sayansiUlisajili gmail kwa details na e mail yako?
Kama mtu alikusajilia kwa email yake basi kuna uwezikano anafuta yeye na simu yako inarespond kupitia google sync.
Ulichokisema ndio nilichotaka kusema mie yaan huenda hata Kuna kifaa kingine tu kina email hio mwana akifuta na kwako vinafutikaUlisajili gmail kwa details na e mail yako?
Kama mtu alikusajilia kwa email yake basi kuna uwezikano anafuta yeye na simu yako inarespond kupitia google sync.
Yeah exactly!!!Ulichokisema ndio nilichotaka kusema mie yaan huenda hata Kuna kifaa kingine tu kina email hio mwana akifuta na kwako vinafutika
Umefanunua vzr sante mkuu barikiwa sana huko ulikoUlisajili gmail kwa details na e mail yako?
Kama mtu alikusajilia kwa email yake basi kuna uwezikano anafuta yeye na simu yako inarespond kupitia google sync.
Hili ndo jibu,Ulisajili gmail kwa details na e mail yako?
Kama mtu alikusajilia kwa email yake basi kuna uwezikano anafuta yeye na simu yako inarespond kupitia google sync.
Kajibiwa vizuri Tu Ila naye ahame aje Xiaomi huku na Google pixelYeah exactly!!!
If he is smart enough , he should be able to notice strange new contacts in his phone book too.
Kwa sababu mwana akiongeza contacts zake huko na simu huku ina ongeza kupitia sync.