Msaada watumiaji wa iPhone

Msaada watumiaji wa iPhone

ipi ni Free App nzuri ambayo itanipa access ya kudownload audio(music) pia yenye equalizer feature , napata nyingi hazinipi access zote kwa pamoja.
Jaribu moja inaitwa "document" hii ina feature nyingi sanaaaaaaa
Ila hii wimbo una download toka website za kawaida then ina player yake
Ina pdf reader
Ina browser
Ina music player + video
File manager lake
Vpn ndan ..

Yote hayo ndan ya app moja

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Ewaa sasa hapa nmepata yenyewe, Asante ina-equalizer ila hii hauwez download eh ? Unaamoshia tu ?
Lipia tu mie hiyo nililipia package zote
A4890BF4-D455-4307-82FF-B49E4E220C73.png
 
ipi ni Free App nzuri ambayo itanipa access ya kudownload audio(music) pia yenye equalizer feature , napata nyingi hazinipi access zote kwa pamoja.

Evermusic itakufaa sana mkuu

[emoji117]Utadownload nyimbo zako utakazo kwenye safari kisha unazihamishia kwenye evermusic. Au utazihamisha kutoka Wasap, telegram, email.
Uta Playalist, equalizer, photo cover

Shida ya app nyingi nzuri ni kupata aina zote za musiki
Huku unakua free kuupakua popote unapopatikana
 
ipi ni Free App nzuri ambayo itanipa access ya kudownload audio(music) pia yenye equalizer feature , napata nyingi hazinipi access zote kwa pamoja.

Download application inaitwa "Bolt" (Attachment mwishoni kabisa)
Itakusaidia yafuatayo:

1. Ku-download Video direct from Youtube(One Click)
2. Hii ni kubwa kwangu, inakusaidia kuimport music/files/ kutoka kwenye "FILES"
- Sasa hapa mimi hii application inasaidiana na Telegram.
-Ukitoa channel za telegram zinapost music, kuna hii super bolt kwangu inaitwa " "UTUBERABOT" inasaidia kudownload audio/video direct kutoka youtube.
- Hivyo, basi nikidownload music kupitia njia hiyo ya telegram huwa na-save kwenye files, then na Import kwenye hiyo bolt.
-Hii bolt inakila kitu ulichomba kwenye comment.
IMG_3847.jpg
 
Attachments

  • IMG_3846.jpg
    IMG_3846.jpg
    65 KB · Views: 24
  • IMG_3846.jpg
    IMG_3846.jpg
    44.1 KB · Views: 26
Download application inaitwa "Bolt" (Attachment mwishoni kabisa)
Itakusaidia yafuatayo:

1. Ku-download Video direct from Youtube(One Click)
2. Hii ni kubwa kwangu, inakusaidia kuimport music/files/ kutoka kwenye "FILES"
- Sasa hapa mimi hii application inasaidiana na Telegram.
-Ukitoa channel za telegram zinapost music, kuna hii super bolt kwangu inaitwa " "UTUBERABOT" inasaidia kudownload audio/video direct kutoka youtube.
- Hivyo, basi nikidownload music kupitia njia hiyo ya telegram huwa na-save kwenye files, then na Import kwenye hiyo bolt.
-Hii bolt inakila kitu ulichomba kwenye comment.View attachment 2303691

Yes Bolt na ile Private nzuri sana hizo apps cho chote ukitakacho po pote zinapakua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom