Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Wakuu Naomba mwenye software ya kurudisha data ambazo zilikuwa kwenye partition ya HDD lakini kwa bahati mbaya ikawa formatted
0 Reactions
0 Replies
520 Views
naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video, yaani inakula mb balaa kwenye setting nimeondoa play automatically ila ata ukizima data video nyingi unaweza kuzi play at least for 12...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inakuaje mtu No yake ya WhatsApp, normal call haipatikani lakini ukimtumia text whasap zinaonesha tick 2 kuna mtu anatumia wasap yake au.
0 Reactions
5 Replies
928 Views
Nimepata changamoto App ya Instagram haifunguki. 1.Nimejaribu kuingia kwenye settings na kuclear cache still ni vilevile. 2.Nikatoa App na kuinstall tena bado vilevile. 3.Nikazima simu na...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu. Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, nimesahau password ya ZIP FILE nifanyaje ili niweze ku-extract? Natumia simu ya android.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliiingia chaka nikajiunga na maximalipo kwa kununua machine yao na ku deposit 500000. Muda si mrefu kampuni imefilisika, hawapokei simu na wala sijui namna ya kupata pesa yangu. Wiki iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua jinsi ya kutengeneza video ya Lyrics kama hii hapa chini unatumia program au app gani wakuu? Natanguliza shukran zangu kwenu.
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Entrepreneur na mwanafunzi wa chuo kimoja Dar ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo...
1 Reactions
119 Replies
43K Views
Wadau wa JamiiForums napenda kujua nia APPLICATION gaini Nchini CHINA Inayotumiwa kama WhatsApp maana naona WhatsApp huko haifanyi kazi.
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo. Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji...
4 Reactions
86 Replies
10K Views
Habarini wadau! Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini?
0 Reactions
9 Replies
850 Views
Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Salaam wakongwe ni laptop gani ambayo ni nzuri kwa coders na programmers na kwa bei nafuu? Na swali lingine ni kwamba naweza pata kwa range ya ngapi? Natanguliza shukrani
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Aisee natafuta mtu anayeifahamu laravel vizuri kabisa hasa ORM. Kuna kazi nataka tushirikiane naye malipo yapo. NOTE: KAZI TUTAFANYA WOTE KWA KUSHIRIKIANA KWA UKARIBU ZAIDI PIA...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Ndugu habari, Hivi ni nini kifanyike kwa wale wotee wenye tabia ya ku hack account za watu? Unakuta mtu ana acount yake kapambana sana kupata follwers wake lakini li mtu linakuna from nowhere...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Habari wakuu Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ..hivi huwa inasababishwa na nn ukiwa unangalia TV wakati mvua inanyesha signal hukata kabisa? Ndiyo kusema ufumbunzi wake haujawahi kupatkana...
3 Reactions
49 Replies
9K Views
Kwa wanaotumia mac book pro pc.. Uki install window seven by (dual boot interface and NOT Boot camp) and thereafter all coresponding drivers get installed (found in original mac os x cd)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vijana hivi sasa wanakua katika ulimwengu wa kidigitali ambapo Ujuzi na Uzoefu katika Masuala ya Digitali ni muhimu hususan katika Ajira Hata hivyo, Mafunzo katika Nchi mbalimbali za Uchumi wa...
1 Reactions
0 Replies
677 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…