Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wadau! Naombeni ujuzi wa ku-unlock hii modem iwe nitumie line zote.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari kwa mtu yeyote ambae anaweza kunisaidia kurejesha Account yangu ya Instagram nina toa shillingi elfu 50 cash kama upo njoo DM uaminifu ndo kitu mhimu account baada ya kufungwa inasomeka...
1 Reactions
2 Replies
253 Views
Katika dunia ya kisasa ya biashara na mawasiliano, kufikia wateja kwa haraka, kwa ufanisi, na kwa gharama nafuu ni jambo la msingi. Huduma ya kutuma ujumbe kwa pamoja (Bulk SMS) kwa kutumia jina...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
4 Reactions
12 Replies
491 Views
Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje? Inawezekana...
1 Reactions
3 Replies
597 Views
Habari ya kuamka wakuu natumai mmeamka salama kwenda kupambana kutafuta riziki na Harakati za kuikomboa nchi zikiendekea. Inshort ni kwamba Nina Simu yangu Samsung A42 5G ina changamoto ya...
1 Reactions
7 Replies
512 Views
Yap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji. Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako...
1 Reactions
28 Replies
990 Views
Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
1 Reactions
60 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa njinsi ya kuweka langi kwe post
4 Reactions
323 Replies
26K Views
Mwenye kujua la kufanya tafadhali. Nimekwama hapo
1 Reactions
9 Replies
333 Views
Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba...
4 Reactions
7 Replies
795 Views
Remix ya wimbo wa Goodlucky Gosbert Nipe: Hii lyrics pia ziliandikwa na chatgpt Tupia nyimbo zako ulizounda kwa AI Hii ni IDM but ya kiingereza lyrics zimeandikwa na chat gpt
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Je umekua na wasiwasi juu ya uhalifu unaoendelea kwenye eneo unaloishi inawezekana ukilala bado unakua na wasiwasi kuwa Kuna wezi wanaweza vunja mlango wa nyumba yako na kuingia kukuibia vitu...
4 Reactions
18 Replies
814 Views
Wakuu Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aingize password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana. Watumiaji wa simu za android kuna feature...
1 Reactions
5 Replies
920 Views
Wakuu nimetengeneza website ya kugundua fursa za Crypto (arbitrage) https://arbitrage.liveblog365.com Nimeweka matangazo ya adsterra lakini wadau wanasema muonekano ni mbaya na matangazo hayapo...
0 Reactions
2 Replies
182 Views
https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Ni elimu tu Simu ambayo inaweza kukaa chaji siku nzima, ukiwasha vpn chaji inashuka kwa speed kali sana, Ukiendekeza matumizi haya kwa muda mrefu unaua battery Kwa wimbi hili kubwa la matumizi...
4 Reactions
11 Replies
628 Views
Habari za kazi Samahani wakuu. Natumia unlimited ya Yas. Lakini speed yake iko chini sana baada ya kurudishwa ila kabla ilikuwa vizuri. Ningependa kujua kwa wengine wanaotumia wanapata experience...
1 Reactions
0 Replies
230 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ