Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hi wakuu, Nahitaji msaada wenu. I am planning to create a simple Java program ( .jar ) which will store its data in XML format. I would like to access some data from XML file and export to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF ninawapa pole sana kwa kile kilichotokea jana GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana. Kwa jins inavyoelezewa na jins nilivyoona ninawapa pole sana marafik ndugu jamaa na watanzania wenzangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sun unleashes huge solar flare towards Earth By Paul Rincon Science reporter, BBC News Click to play Click to play Time lapse image of the solar flare as seen by Nasa's Solar...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Lengo la teknolojia ni kurahisisha na kuboresha maisha ya jamii. Hivyo AfroIT tukiwa kama wana jamii tumeanza kuandaa mafundisho ya kutengeneza tovuti kwa kutumia joomla. Katika mafundisho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nataka kutumia registry cleaner ili niweze kuspeed-up machine coz kuna mtu aliniambia kuwa hiyo njia inasaidia kuongeza speed ya computer, lakini kuna rafiki yangu mwingine anasema kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mambo vipi wakubwa/ naombeni msaada wa activation security shield ya avira coz co yangu imejaaa virus wengi sana au ni njia ipi naweza kuitumia ili niwaondoe hawa wadudu wote?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
URGENT PLS!! Wadau nisaidieni. Nimejaribu siku nzima kufanya usajili wa kijana wangu kupitia web ya NECTA bila mafanikio. Jamani nitumie njia gani li web hili ilfanye kazi???
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuuliza :Nataka kutumia Modem 3 ya Zantel Voda na Airtel kwa mpigo Je hii inaweza kufanya speed ya kuatach vitu au kudowload kuwa kubwa? Asante
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnisaidie kunipa shule jinsi ya kurestore OS ya zamani, coz kuna vitu nilivitunza kwenye desktop so nilipoiformat vikapotea na bado navihitaji. Nilliwahi kusikia kuwa inawezekana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natumia Window xp, iligoma kufanya kazi kwa siku nzima ,nikaamua ku-repair kwa kutumia CD na ikafanikiwa kuirejesha kwenye hali yake. Lakini pamoja na programme zote kuwepo lakini mafaili yote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nataka kununua laptop na sh laki 6 naomba mnifahamishe laptop nzuri ni ipi ya aina gani? uwezo gani? asante.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Site gani inapatikana antivirus ambayo ni active??
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Adobe photo shop please!! mahali pakuipata kwa msaada!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJF, naamini hapa ni kisima cha kutatua matatizo na kisima cha solutions pia. Mimi ni mpenzi wa tamthilia za kikorea na mojawapo ni Jumong na Kingdom of winds ambazo zinaelezea maisha ya zamani...
0 Reactions
10 Replies
15K Views
:sad: wakuu ninatumia windows 7 ktk laptop, sasa naambiwa zimebaki siku 6 natakiwa niiupdate os (win7), swali zikiisha hizo siku 6 itakuwaje? na nifanye nini ili niendelee kuitumia win 7 hata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
please IT's help on how to unlock a locked flash disc. it shows files in but can't add any file. and its not full. used is only 2% of 4gb.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Let us bump each other on origins. Mods please dont move this, it is intended to be here. Here are few rules to this post: 1. Don't just put a link or copy n paste. If you c n p, then you must...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Naomba msaada wa program ya kufungua DAV files, ambazo zimetokana CCTV kwenye PC yangu. Kama mtu anayo naomba anitumie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam Nina maswali na mjadala unahitaji maelezo ya kitaalam ili tuelimishane kabla sijaenda mbali tembelea site hii This domain name has been seized by ICE - Homeland Security...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Guys i realy need ur help,I'm trying to activate Windows XP Home Service Pack 3. I've just performed a clean setup, and Windows now won't let me even log in until I activate. [This copy of Windows...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…