salaam kwenu wakubwa wana JF Naomba msaada wenu nilikua natumia UBUNTU latest version lakini ilinishinda kitu kimoja,kuna mida ukifungua kwenye kuingiza password inagoma alafu inaandika kuna...
simu ilikuwa inatumika UK nimekuja nayo TZ ila ukiweka SIM card inakuambia insert the right SIM halafu kuna sehemu ina kupa option ya ku unlock sasa ninaomba kama kuna anayefahamu how to unlock...
Kuna baadhi ya References za WEB DESIGN/WEB DEVELOPMENT zinasema MACROMEDIA DREAM WEAVER is the same as WYSIWYG Visual Editor lakini zingine zinasema kuna tofauti,je wadau nini tofauti hiyo?
Habari wakuu! Naomba msaada wa keys za avast antvirus tafadhali. Kwani hali imekuwa ngumu kwangu. Natanguliza shukrani kwenu wakuu huku nikisubiri msaada toka kwenu.
Waungwana nimepiga pics kwa kutumia digital camera- still picts zipo kwenye format RAW hazionekani kwenye pc kwa kuprint anyone anaweza saidia nini nifanye ili niweze print
Nataka kuinstall winXP SP3 kwenye vista but inaleta error message kwamba installation haiwezi kuendelea kwasababu version niliyonayo ni newer than ninayotaka kuinstall. Nifanyeje?
Hello JFs...mimi ni member mzuri wa toshiba laptop...sasa nina toshiba yangu sattelite ina tatizo inaboot lakini screen haioneshi kitu, nimebadili ram..wapi.....haioneshi kitu....ninazo kama 3...
Sasa WOTE Tizameni hii video na muone kwanin nachukia windows,
Video hii hapa
Afu kumbuka umoja ni bora kuliko ubinafsi. Linux nyingi ni OpenSource lakini Windows ni mali ya Microsoft, hata TOS...
Jamani wandugu tufunguane akili na hii technologia ya kuingilia mazungumzo ya simu za kiganjani. kwa nilichoweza kujua kwa wale wenye simu zenye bluetooth, gps na wireless internet ni rahisi...
Kabla ya yote, kuna hii website ya 000webhost ambao wanatoa hii sevice lakini wako makini na uchafu utakao upload.
Haya tuje masomoni
This HTML Beginner Tutorial assumes that you have no...
Ndugu wapendwa,
mimi nina stationery na mara kwa mara napata kazi za kuprint colored documents.
Printer yangu ni HP color laserjet 1250, yaani toner zake ni expensive mno [ around 150,000tsh kwa...
Hi JF members,
I am a second year student at the university of Dar es salaam taking bachelor of science in computer science.
I would like to ask for your help,if any of you has a company...
:A S clock:Kabla ya yote, kuna hii website ya 000webhost ambao wanatoa hii sevice lakini wako makini na uchafu utakao upload.
Haya tuje masomoni:teeth:
This HTML Beginner Tutorial assumes that...
Habari za shughuli wadau!
Ninahitaji kujua procedure ninazoweka kufuata ili kuweza kutumia modem moja kwa line tofauti. Mfano kwa sasa ninatumia modem ya vodafone yenye line ya voda, sasa nahitaji...
Wakuu nataka ninunue music system kwa ajili ya kuniliwa kidogo. Naombeni ushauri juu ya Watt na ukubwa wa sauti maana naona zinaandikwa 250W, 300W, nk. Ikiwa na 600W itakuwa na mdundo?Maana nataka...
Bongo-IT Community | Facebook
Habari wana JF,
Napenda kuwafahamisha kuwa, kuna page ya Bongo-IT community, imeanzishwa facebook kwa ajili ya kuwaunganisha wana IT wote wa kitanzania duniani...