wakuu naombeni msaada wa working link ya software ya kufanya kazi tajwa kwenye kichwa au mwenye nayo basi naomba ani-attachie sababu nimetafuta bila mafanikio
Jamani za leo?mi natumia samsung gt-c3222 nimejaribu ku downloa d music from waptrick mp3 imemaniza kudownload ila nyimbo hazichezi kwenye sim yangu nikiclick inaniambia unsupported file.what...
Digital Millenium Copyright Act,
sijaisoma yote, lakini kama itakuwa implemented, basi mambo yatakuwa magumu kwa baadhi ya watu, actually watu wengi wanaojihusisha na kazi mitandaoni.
kiufupi...
Wakuu heshima yenu !
Hapa janvini kulikuwa na ubishi kuhusu taarifa mbalimbali kama tarehe ya kutengenezwa video, aina ya kamera ya iliyotumika, ukubwa wa pixels nk. Kwa kutumia MediaInfo...
Kuna jamaa wanajinadi wanauza app toka TIGO Wakati tigo wanasema hawawatambui in details fungua hii link uone http://www.anti-mobileapp.wapka.mobi/index.html je kuna ukweli hapo au ndo mambo ya...
wadau mambo vipi jana nilikaa kijiweni nikasikia wanazungumzia habari hii,nikabishana nao sana,wameniambia wameckia kwenye radio nimejaribu kuangalia source zangu net cjaona wala kwenye magazeti...
wakuu naombeni.mnisaidie ni kwangu au kwa wote speed ya internet yangu ya voda imepungua kweli na huku inaonesha HSPA sio ata edge yani.iko as low as 5.6kb/s kuna njia kweli ya kuiboost natumia...
Yupo bwana mmoja ana iphone 3s imeandikwa kwa nyuma designated by apple in califonia authorized in china swali langu ni je hii ni orginal au feki? Na je hii in operating system kama ndio je...
SALESCORE LIMITED We are leading supplier of high-end products to customers, we deal primarily in genuine and brand new electronics, all items are sourced directly from the manufacturers and...
Kaye Billy Branks: A great loss to the Uganda IT fraternity
The Uganda IT fraternity, friends and family of Kaye Billy Branks Nduga shall forever hold the evening of Feb 19th in their hearts...
Wakuu cijui kama hii ki2 hipo common kwenu na inaweza saidia ku avoid ku2mia pirated windows
Kuna Chalii wangu kaja leo nimuekee windows kaja na cd ina win 7 starter((zile wanapewa wanaonunua...
niafikra team presenting on Inaya platform that provides a software engine with security, scheduling, persistence, form engine and GUI facilities that includes a hospital management information...
Wataalam wa mambo ya teknolojia mimi ni mwalimu nahitaji simu tajwa hapo juu ili niwe naitumia kwa ajili ya kufundishia badala ya kutumia teknolojia ya kusoma makaratasi wakati wa kufundisha. Kwa...