Wakuu msaada internet Voda

Wakuu msaada internet Voda

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
wakuu naombeni.mnisaidie ni kwangu au kwa wote speed ya internet yangu ya voda imepungua kweli na huku inaonesha HSPA sio ata edge yani.iko as low as 5.6kb/s kuna njia kweli ya kuiboost natumia unlimited bundle ya wiki
 
Nazani 2 gb ya week umemaliza subiri iishe ya wiki yote unga za kawaida au wajanja full speed
 
Wanakupotosha unlimited bundle means they don't count what you download but controlling downloading speed

Hakiki connection settings, take off proxy IP and let it be blank (on your wap settings not a browser)

Nimegundua tatizo hili mara kwa mara, automatic settings zinakuja na proxy IP ambapo ukiitoa ina improve speed
 
alphoncetz mbona wazungumza pumba mwenzio yupo kwa pc weye waleta mambo ya phone au funguka vizuri kama sijakuelewa
 
Last edited by a moderator:
alphoncetz mbona wazungumza pumba mwenzio yupo kwa pc weye waleta mambo ya phone au funguka vizuri kama sijakuelewa

hata akiwa kwenye PC since anaongelea connection ya voda maana yake anatumia connection device (modem) ambayo inahitaji hizo settings ili kufanya kazi. Futa neno "pumba" ikiwa umeshafahamu ninachoongelea
 
streaming inapiga fresh tu u can watch a full movie bila hata kubuffer

mkuu kama unastream fresh ina maana hujamaliza mb's za speed kubwa. Hapo ina maana una tatizo la website unayodownload hilo file.

Kama hutajali share na sisi
 
Wanakupotosha unlimited bundle means they don't count what you download but controlling downloading speed

Hakiki connection settings, take off proxy IP and let it be blank (on your wap settings not a browser)

Nimegundua tatizo hili mara kwa mara, automatic settings zinakuja na proxy IP ambapo ukiitoa ina improve speed

ahsante kwa ushauri wako mimi siyo mtaalam sana wa it je unaweze kunisaidia jinsi ya ku set hiyo proxy ip kwenye nokia e61i au computer ya windows xp ningeomba unipe instructions na siyo theory ie nianzie kwenye menu ingia kwenye tools etc natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom