Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Za mishe mishe ndugu zangu Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k...
9 Reactions
90 Replies
18K Views
Wadau habari, naomba tuangazie macho kwenye hii functionality inayopatika kwenye simu za android. Kadri matoleo mapya Adroid yanavyokuja ndivyo usalama wake pia huumalishwa kwa kuwalinda walaji...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Habar za majukumu wana jamvi, Kwa wale wataalamu wa pc msaada wenu plz Nimenunua pc aina ya hp 450, wakati nainunua pale dukan , niliiangalia betri yake ili niweze kujua kwamba inakaa na chaji...
2 Reactions
10 Replies
856 Views
Jamani wana forum kwa yeyote anayejua namna ya kulipia VIP ACCOUNT na FOREVER ACCOUNT ili kuweza kuwa Subscribed na Channel za Canal sport naomba msaada..natumia decoder ya Starsat Kuna jamaa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
๐—ง๐—ถ๐—ด๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ Kampuni ya Tigo nchini Tanzania imezindua mfumo mpya wa watu kuweza kufanya miamala mbalimbali kupitia Whatsapp. Kukua kwa Teknolojia nchini Tanzania Kuna fanya...
3 Reactions
5 Replies
796 Views
Kumekua na kesi nyingi za watu kulalamika kufungiwa ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ zao kila mara, watu wengi wanalalamika kila wanapojaribu ku download Whatsapp na kujiunga tu wanafungiwa nini shida ? Kuna mtu alikua...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Nahitaji kurudisha email yangu ya kwanza lakini password nimesahau. Lakini hatua ya mwisho inanishinda wananiambia wametuma Tena verification code kwenye email ninayotaka kuirudisha, hapo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaJF, kama kichwa kinavyojieleza; kutokana na mijadala mbalimbali juu ya samsung original na copy je ni njia ipi itumike kuangalia kama simu ni copy au original kwa simu za samsung. Kwenu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salama wadau, Kama kichwa kinavyo eleza. Nina footages nili shoot sasa baada ya kuzihamishia kwenye pc kuna baadh yakawa corrupted. Video hazi play lakini ukicheck properties zinasoma nyingine...
1 Reactions
6 Replies
502 Views
Vita ya marekani na Korea [emoji44] Idara ya sheria ya Marekani (,justice department) imetoa malalamiko kwa raia wa Korea ya Kaskazini wamekuwa wakifanya kazi mbalimbali kupitia makampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
Mafundi msaada kidogo, nina tv yangu (smart) imekata mwanga yenyewe ila inawaka kama kawaida. Je kitu gani hapo kwenye hiyo picha kinahitaji kubadilishwa?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa habari kinavyojieleza. Simu yangu kwasasa ni mwendo wa matangazo ya 1x bet, mara magame naamua kujipumzishia zangu fuvu niingie JF matangazo yanaibuka Data ya mawazo ni mwendo...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu, Jamani nimekuja hapa kuomba ushauri nahitaji kununua TV kwa ajili ya project yangu flani hivi. TV nazotaka ni hizi za kawaida kabisa kulingana na budget yangu, sasa kati ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hapa nazungumzia pump za kuvuta maji kwenye visima. Nimeambiwa ipo ya solar Tsh. 150,000/- panel watt 200 na kuendelea na ya umeme pia ipo niliambiwa bei ni sawa na ya solar. Uwezo: 100m kutoka...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu...
4 Reactions
15 Replies
780 Views
Wakuu msaada hapa. Nimepewa simu na rafiki Ang nashindwa kufanya mambo kiwa mepesi simu yenyewe ni hii. Msaada wenu
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu mtu mwenye utaalam na winbox ama upatikanaji wa mikrotik router au SOYEA link naomba anitafute.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
App ya Google kamera ambayo ilikua inatumika kwa Ajili ya vifaa vya google pixel Sasa rasmi vimebadilishwa jina na kuitwa Pixel camera. Ukingia play store ukitaka kupata app ya kamera Kali kwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ