Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nilinunua wifi adapter zinabagua kuunga wifi, mfano nikiwasha hotspot ya simu inaunga lakini nikitumia touter mifi inakataa kuunga inandika cant connect to this network. Nilitafuta sana...
2 Reactions
6 Replies
554 Views
Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti Kampuni ya kuunda Maroboti toka Russia Prompt imeweza kutoa ofa ya Dola $200,000 kwa mtu Yeyote anayetaka kuchukua sura yake apewe...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo...
1 Reactions
2 Replies
240 Views
Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe...
3 Reactions
21 Replies
682 Views
Tuki entertain upuuzi kama huu, tutaua hata hiki kidogo tulichonacho kwenye tech..... Sijajua kwanini watu wamekua kimya kwenye hiki kitu, lakini ni moja kati ya policy ya kipuuzi kuwahi...
2 Reactions
7 Replies
523 Views
Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana. Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa. ๐Ÿ˜„ Kibongo itakuwaje ikaitwa...
2 Reactions
4 Replies
261 Views
Nilianza muda si mrefu LAKINI bado nakumbana na kero ya maswali ya WATU , watu wanakuja dm wanaanza kama wateja Kisha ubadili agenda zao na kuanza kuuliza maswali hapa KWENYE attachment , Swali...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Tofauti Kati ya GTX na RTX Kama wewe ni mpenzi wa teknolojia, gamer, au unatafuta laptop yenye uwezo mkubwa, huenda umewahi kuona maneno GTX na RTX kwenye maelezo ya kompyuta. Lakini, je, unajua...
1 Reactions
1 Replies
181 Views
Kampuni ya Jolla imetambulisha simu mpya yenye kutumia Mfumo wa linux inayofadhiliwa na jamii oda ya awali ni Euro โ‚ฌ499 mpaka kufikia Euro โ‚ฌ599. Jolla ni kampuni ya Teknolojia inajulikana zaidi...
1 Reactions
17 Replies
666 Views
Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini ๐Ÿ™‚. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi...
4 Reactions
7 Replies
474 Views
Wakuu kutokana na kua na simu zisizokuwa bora kwa upande wa kamera. Sasa nimepata wazo la kununua kamera ndogo ya nje. Na katika pitapita zangu nimekutana na moja wapo hio apo chini. Je wakuu...
2 Reactions
9 Replies
551 Views
Naomba kufahamishwa bei ya kioo cha TV ya 43 inches.
4 Reactions
9 Replies
366 Views
๐Š๐š๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐œ๐ก๐ข๐ง๐š ๐™๐ข๐ง๐ฐ๐š ๐“๐ž๐œ๐ก๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ข๐ž๐ฌ ๐ข๐ฆ๐ž๐š๐ง๐ณ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ข๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฌ๐จ๐ค๐จ๐ง๐ข ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐›๐ฅ๐š๐œ๐ค ๐›๐ž๐ซ๐ซ๐ฒ ๐œ๐ฅ๐š๐ฌ๐ฌ๐ข๐œ kwa jina jingine inaitwa Q20 ikiwa na mabadiliko kadhaa kwa ndani yenye kuvutia...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Katika maisha yangu simu ya kwanza kununua ni Siemens kidole mwaka 2007 mkononi. Sikuwa na matumizi sana wala maana yeyote kwangu. Miaka kabla ya android kuwa maarufu na kuenea TZ ulikuwa...
20 Reactions
116 Replies
14K Views
Je Imewai kukutokea ? โ€œSimu yako imeibwa. Dakika tano baadaye, benki yako imetuma ujumbe: 'Shukrani kwa kufanya malipo ya milioni 2 kwa Bitcoin wallet isiyojulikana.' Ulifikiri hauwezi kulizwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Infinix NOTE 30 na Samsung A24 ni miongoni mwa simu janja ambazo zimeachiliwa Mwaka huu na kuuzika katika mataifa mbalimbali. Simu hizi zinatofautiana bei na baadhi ya sifa hivyo basi leo...
4 Reactions
33 Replies
9K Views
Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny...
24 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wakuu nina sony 10iii ilianza kuonyesha arama kam kotone ka wino kwenye kioo kadri nilivozidi kutumia na yenyewe ikawa inazidi kujaa wino kwenye kioo saa hizi hata siwezi kutumia tena na...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Hizi kampuni tatu simu zao nyingi ni mafamba! Hivi majuzi nilikua Dubai kwa mambo fulani hivi kwenye pita pita nikakutana na hizi simu nikanunua kampuni mojawapo Nyingi zinawekwa Specification za...
14 Reactions
86 Replies
4K Views
Karibu nikuhudumie 200k pamoja na hosting kwa miezi 3 na domain ya .com Pia natengeneza websites, mobile apps and system mbalimbali
0 Reactions
4 Replies
187 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ