Tafadhali Wakuu.
Nina laptop yangu Dell 830, kila nikiweka power cable, inakata umeme kwenye adapter yake. lakini nikichukua adpater hiyo hiyo nikiweka kwenye laptop nyingine inapiga mzigo kama...
Nataka ku unlock modem ya Huawei EC122 na ni DC Unlocker 1.0033 ndio ina uwezo wa kufanya hivyo, lakini lazima uwe na credits za kununu ndio upate username na password ya ku unlock.
Any ideas on...
Tafadhali wataalamu naombeni mnisaidie kitaalamu TV yangu samsung inakakataa kuonyesha picha au inakatakata picha ninapounganisha na HDMI cable kwa kutumia kingamuzi cha digiteck lakini nikitumia...
Tafadhali wataalamu naombeni mnisaidie kitaalamu tv yangu samsung inakakataa kuonyesha picha au inakatakata picha napounganisha na hdmi cable kwa kutumia kingamuzi cha digiteck lakini nikitumia Av...
Nilikuwa na tumia modem ya VODACOM model mpya iliyochakachuliwa ,, sasa nika uninstall kuja kuirudisha tena inakuwa ina connect kwa muda fulani tu unareceive data ila baadae inagoma kabisa hupati...
Saket Ya TV Yangu Inanizingua Kupima, Inachoma Lakini Bulb Inawaka Moja Kwa Moja Haizimi, Kitu Kingine Sijajua Hizi Zeenar Diode Huwa Zinapima Volt Ngapi
Wakuu kuna jamaa yangu ana iphone 5s lakini aliletewa haina charger, tumehangaika sana kununua charging cable lakini ikifanya kazi siku mbili tatu inakuja massage cable is not compatible with this...
The Windows HTC model features new services such as personal assistant Cortana
The handset maker HTC has unveiled a new smartphone that runs a Windows Phone operating system.
The modified One M8...
Msaada na TV yangu, inaonyesha chenga chenga imetumika kama miaka miwilli hivi inasemekana tatizo hili hutokeaga kwenye plasma tv's peke yake. Naomba mtu yoyote anaye elewa hii tatizo atoe...
My simple v ray rendered images on 3Ds max 2015
system specs;
-Intel Core 2 duo 2.2GHz Processor
-4GB of DDR3 Memory
-160GB SATA Hard Disk Drive
- NVIDIA GeForce 9400 GT
- windows 8.1...
Kwema wadau?
Kuna iPhone 3gs 16gb inazingua, tangu ni update iOS haileti network.
Nimepitia tutorial nyingi You Tube na kupractise. Nime jailbreak tethearing na mambo mengine yote nafanya...
Wadau nimenunua Nokia Xl, lakini kila nikijaribu kuinstall whatsapp haikubali, mwenye uelewa anisaidie au ndo haikubali kabisa kwa simu hii aina hii ( nokia xl, dual sim), natanguliza shukrani.
Leo nimejikuta nashika simu yangu na kujiilza maswali mengi.
-Ina vitu( features gani) ambazo sizijui?
- Ina features gani ambazo nazijua lakini sijawai kuzitumia wala sizihitaji
- Ina...