Naomba msaada tatizo la Samsung note 3 kujizima

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,387
Reaction score
6,480
Jamani naomba msaada, Samsung note 3 inazima yenyewe. Ukiwasha, then baada ya muda mfupi inajizima. Msaada please!
 
Mkuu maelezo yako hayatoshelezi kugundua tatizo. ..jaribu kueleza kinaga ubaga tukusaide.
 
Ndugu yangu, ni hivyo tu. Ni samsung galaxy note 3. hata sasa ninapoandika, imejizima. basi. Ni mpya kabisa ina wiki tatu. Kwanza ilianza ikapoteza neno samsung unapoiwasha, inaleta mediatek. Sasa inajizima. Msaada please.
 
mediatek mchina huyoo babu umeliwaaaaa
 
Hiyo siyo sumsung ndugu yangu ujanja mwingi siku hizi lakini si ina warantee kwa nini usiende dukani uliponunua ili wakusaidie
 
Ndugu yangu, ni hivyo tu. Ni samsung galaxy note 3. hata sasa ninapoandika, imejizima. basi. Ni mpya kabisa ina wiki tatu. Kwanza ilianza ikapoteza neno samsung unapoiwasha, inaleta mediatek. Sasa inajizima. Msaada please.

Mkuu mchina hana tiba hesabu maumivu pole mkuu vya bure ghali
 
Unaweza kuwa sawa, LAKINI ninayo samsung galaxy tablet 3, nayo ilikuwa na tatizo hili (nilinunua in the US, sidhani kama nayo ni mchina). Nilipeleka kwa mafundi wakarekebisha tatizo likaisha??????. Kabla sijaenda huko nikaona niulize kabla ya kuchokonoa.
 
mediatek mchina huyoo babu umeliwaaaaa

Unaweza kuwa sawa, Ukiacha hilo la kijizima functions zingine ni super usiseme! LAKINI ninayo samsung galaxy tablet 3, nayo ilikuwa na tatizo hili (nilinunua in the US, sidhani kama nayo ni mchina). Nilipeleka kwa mafundi wakarekebisha tatizo likaisha??????. Kabla sijaenda huko nikaona niulize kabla ya kuchokonoa.
 
Unaweza kuwa sawa, LAKINI ninayo samsung galaxy tablet 3, nayo ilikuwa na tatizo hili (nilinunua in the US, sidhani kama nayo ni mchina). Nilipeleka kwa mafundi wakarekebisha tatizo likaisha??????. Kabla sijaenda huko nikaona niulize kabla ya kuchokonoa.

Mkuu,samsung galaxy note3 haijatengenezwa na proccesor ya Mediatek,hivo kama ukiwasha inaandika mediatek manayake n feki..

Kama tatzo lingekua kujizima tu hamna tabu,tungekupa ushauri,.

Na kwa uhakika n kwamba ilipoteza neno samsung ukiiwasha baada ya factory reset...

Umibiwa rudisha uliponunua..
 
rudi kwa hao mafundi wa galaxy tablet 3, japokuwa hiyo note yako ni mchina tena yule anayepoteza network kila saa
 
Mkuu,samsung galaxy note3 haijatengenezwa na proccesor ya Mediatek,hivo kama ukiwasha inaandika mediatek manayake n feki..

Kama tatzo lingekua kujizima tu hamna tabu,tungekupa ushauri,.

Na kwa uhakika n kwamba ilipoteza neno samsung ukiiwasha baada ya factory reset...

Umibiwa rudisha uliponunua..

Asante , hapo kwenye red sijakuelewa vizuri. Kupoteza neno samsung unapoiwasha ni factory reset... sijakupata.
 
Kwa kawaida hizi samsung clone ukizifanyia factory reset(restore factory) tu znaacha kuandka neno samsung ukiziwasha na badala yake znaandika mediatek..
 
Anyway sijafanya any factory resetting for that matter default setting. nadhani you are right.
 
Back
Top Bottom