Naomba msaada kingamuzi cha Digiteck hakioneshi picha nikitumia HDMI Cable

Naomba msaada kingamuzi cha Digiteck hakioneshi picha nikitumia HDMI Cable

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Tafadhali wataalamu naombeni mnisaidie kitaalamu tv yangu samsung inakakataa kuonyesha picha au inakatakata picha napounganisha na hdmi cable kwa kutumia kingamuzi cha digiteck lakini nikitumia Av haina shida tafadhali naombeni ushauri..
 
Back
Top Bottom