Naomba msaada tatizo la modem kupoteza network

Naomba msaada tatizo la modem kupoteza network

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Nilikuwa na tumia modem ya VODACOM model mpya iliyochakachuliwa ,, sasa nika uninstall kuja kuirudisha tena inakuwa ina connect kwa muda fulani tu unareceive data ila baadae inagoma kabisa hupati access tena ya internet.. nika uninstall tena ila tatizo liko pale pale unapata access ya internet baadae inagoma tena..

ila hiyo modem ukiweka kwenye computer nyingine inafanya kazi kama kawaida wala haigomi, nikachukua modem ya tigo nayo inafanya hivyo hivyo.. sasa nikajua tatizo ni komputa yangu mwenyewe na sijui hili tatizo linasababishwa na nini...

kwa aliyewahi kukutana na tatizo hili anijuze na nifanyeje. ASANTENI
 
nyie ndo wakufungwa kabisa tuletee kwanza aliyeichakachua hapa, ndo upewe msaada
 
maybe driver zinacorupt kwenye pc yako. jaribu kudownload manual dashboard ya huawei ile official then uangalie nayo.
 
  • Je ni ZTE au HUAWEI hiyo modem yako ? RGforever , Tuanzie hapo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
  • Je ni ZTE au HUAWEI hiyo modem yako ? RGforever , Tuanzie hapo kwanza.

Yaani modem ni ZTE hizi walizotoa vodacom sa hivi.. SASA tatizo si kwa hiyo tu modem ila hata zingine kama za tigo huawei.. nikiweka kwenye PC na kuconnect napata internet kwa muda mfupi tu halafu inashuka kabisa hauwezi hata kuingia GOOGLE
 
  • Badala ya kutumia software ya modem kufanya connection.
  • Tengeneza dial up connection. Uone kama itakuwa imetatua tatizo.
 
  • Badala ya kutumia software ya modem kufanya connection.
  • Tengeneza dial up connection. Uone kama itakuwa imetatua tatizo.

Thnks mkuu nimejaribu dial upconnection ila taio lilibaipale pale ia nimemua niweke windows 8.1 sasa hivi ipo poa
 
Back
Top Bottom