Features gani ambazo unazitumia zaidi kwenye simu yako ya mkononi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Features gani ambazo unazitumia zaidi kwenye simu yako ya mkononi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jun 6, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Leo nimejikuta nashika simu yangu na kujiilza maswali mengi.

  -Ina vitu( features gani) ambazo sizijui?
  - Ina features gani ambazo nazijua lakini sijawai kuzitumia wala sizihitaji
  - Ina uwezo au mapungufu gani
  -Inakosa features gani ambazo kama ingekuwa nazo ningezitumia sana.

  Simu nyingi hata za kawaida zina uwezo na features nyingi ambazo hatutumii. . Sasa swali kwa wasomaji na wanajmvi ni features gani unazotumia sana kwenye simu yako.

  -Voice calling na sms ( kupiga/kupokea simu na kutumaujumbe mfupi) hii ni sifa kuu ya simu
  -Camera na Video Camera
  -Saa(clock)
  -Alarm na reminder, Notebook
  -Internet
  -GPS

  -kusikiliza FM radio na Miziki uliyoifadhi
  -kuhifadhi Directory na contact za watumbali mbali
  - games
  -TV ukiwa kwenye movement

  Hapa nimetaja vitu vichache lakinii nawezekana baadhi yetu tuna simu amabazo zina uwezo mkubwa sana kuliko uwezo wa huduma inaytolewa na provider wetu au kuliko mahitaji na matumizi yetu. Vile ile tunaweza kuwa maeneo fulani simu kama ya nokia ya tochi ikawa na msaaada mkubwa zaidi kuliko simu zingine


  • Je unatumiaje simu yako.?

  • -Kwa kwa maoni yako simu inatakiwa zaidi ya kuongea na sms simu yeyote inatakiwakuwa na features gani za muhimu.
  Nawasilisha kwa mjadala.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mhhh owkey leo tu nime...
  1.Piga na kupokea simu
  2.Tuma na kupokea text
  3.Nimesurf
  4.Nimechat na kuongea kwa kupitia Skype
  5.Nimeangalia movie
  6.Nimesikiliza clouds fm online kidogo
  7.Nipo nasikiliza music sasa hivi
  8.Kila siku lazima nipige picha mbili tatu na video
  9.Ndo saa yangu..alarm na event reminder
  10.Kuandika memo...i kinda turned it into a diary.
  11.Kuangalia series nlizomiss kwenye tv
  12.Video you tube na kudownlod music
  13.Kusoma h/w zangu (office documents)...bado tu sijachakachua niweze kuedit ili hata kufanya niwe nafanya hapo hapo.

  Kilichobaki ni kuangalia tu channel nizipendazo live....baada ya hapo nadhani hata tv sitohitaji tena maana computer nimeshapotezea.Nwy vyote hapo juu ni muhimu kuwepo kwenye simu maana navihitaji kwa matumizi yangu ya kila siku!!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimeongea kupitia Skype!
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu yaani vitu ambavyo natumia ni vichache sana kulinganisha na applications zilizomo.

  1) Texting - tena sio sana. Si unajua wanaume tukituma message ya maneno matatu inatosha?
  2) Voice massages. Hii natumia sana b'se sometimes huwa naitumia kiofisi pia. Sometimes nakuta voice messages zaidi ya 15 kwa siku.
  3) Saa - hii kwa sana b'se sipendei kuvaa sana unless naenda kwenye special occasion
  4) Alarm - Hii ndio inaniamsha karibu kila siku asubuhi (I hate this application).
  5) Camera - sijawahi kuitumia na sijui inatumikaje.
  6) kuhifadhi namba za watu - lakini huwa nina backup mara kwa mara kutokana na kilichonitokea huko nyuma.
  7) Kupiga simu - japokuwa napigiwa zaidi ya kupiga.
  8) Kuna application moja ya shopping nai-mind lakini mie si mtumiaji sana wa supermarkets. Unaingia supermarket una-scan vitu unavyotaka kwa kutumia simu yako, ukimaliza unaanza zako. Jamaa wanakuletea vitu vyote home. malipo yanafanyika juu kwa juu. Ukiwa home kama kitu kimeisha una-scan tuu the package na simu yako kuwataarifu supermarket kuwa umeishiwa. Baada ya ku-scan unatupa package unasubiri mzigo kulingana total amount uliyo-set kabla ya kuletewa mzingo mwingine. Kuna mfanyakazi alimwona jamaa ana-scan vitu akadhani ni mwizi. Technology bwana.

  Mkuu ulimaliza hii njoo na ya Computer.
   
 5. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Ya kwangu hadi betri inalalamika, huwa na twanga simu, na chat, naitumia kama wireless transmiter, naitumia kama Fm transmiter kusikiliza muziki kwenye radio ya gari na nyinginezo.Naitumumia kusoma ebooks, kurekodi sauti na video, naitumia kama extrenal memory.

  natumia N97 symbian s60v5, 32gb
   
 6. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mi ni gaming,chatin,surfin n calling....
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hilo tu ndo umeona utujulishe?!Au ndo mara ya kwanza?!
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  EMT sasa unafika super market na kuscan vitu alafu unashindwa kuchukua tu wenyewe???Kweli tekinolojia inalemaza!!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Dada mbona wewe mkorofi hivyo?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona hata sio mkorofi?!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Basi hujijui
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haya nijuze basi kwa marefu na mapana ili nijue ntaanzia wapi kujirekebisha!
   
 13. Garmii

  Garmii Senior Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww ni mkare joo!
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Lizz simu yako wewe ni gani ?
   
 15. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mambo yote me me napendelea zaid kwenye internet kasimu kangu kwanza nimekawekea bible nasoma mwanzo mwisho!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  LG Optimus X2....
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndo maana nakusaree joo...
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kupga, kupokea, msg, internet,
   
 19. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nadhani umekusudia kusema siku za nyuma. right?..............:becky:
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  cmu yangu ofisi cmu inanifilisi,cmu kuwadi wangu na cmu mpambe wangu,naitu100 sana tochi kuliko kupiga ama kupigiwa
   
Loading...