Simu ya HTC kukata network mara kwa mara Inatokana na nini?

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Simu yangu ya HTC windows 8 inatatizo la kukata internet maramara. Mwenye kujua zaidi naomba msaada.
 
Uko wapi na hapo ulipo una hakika kuna full access ya Internet? Mimi natumia HTC DESIRE HD na sijawai kupata hilo tatizo.
 
hii hutokea sehemu mbalimbali
 
Back
Top Bottom