Msaada Laptop inagoma kuboot Baada ya kufanya Updates

Kiwi

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
1,054
990
Wakuu, leo laptop yangu imegoma ku boot baada ya kufanya update za kawaida. Inatumia OS Win 8.1. Naomba msaada kwa wataalamu.

Natanguliza shukrani..
 
hio update imeua laptop nyingi sana msft wameshaitoa ili waifix restore tu kaka huna ujanja
 
Back
Top Bottom