Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nahitaji kujua kama nimenunua simu ya tecno ambayo ni fake, nifanyeje ilinijue ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, ni kweli huawei y530 ina tatizo la "ku-stuck" sana?!
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Habari wanajamvi. Nimejaribu kupitia audio settings zote na profile zote lakini imeshindikana calls zikiingia tu simu inajipeleka silent mode hivyo kupitwa na calls za muhimu sana. Natumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii simu haiwezi kuelewa command inayo anza na mfano *150*03# au yoyote kama hiyo haikubali any help ?
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Hey guy recently been teaching myself php. So did the next best thing and that is try to find challenges to solves. Found this Reddit forum ambayo wanapost challenges every week ranging from easy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu poleni na uchovu naomba msaada nina blackberry yangu ni aina ya curve inanisumbua sana napoingia watsap na haswa pale napotaka kutuma sms..meseji inakuwa inakataa kwenda kabisa haioneshi...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Wadau nina laptop inatumia ubuntu. nataka kupiga chini niweke window 8. Kama kuna mdau yupo moro au mzumbe PM fasta tugawane umaskini.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili ni toleo jipya la hii kamusi ya Kingereza-Kiswahili-Kingereza. Unaweza kufatilia thread ya mwanzo hapa...
9 Reactions
45 Replies
8K Views
Jamani nitapata hii simu kwa bei gani ikiwa mpya kabisa.
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Nina iphone 5s ios 7.2.1 na nimeijailbrake Nataka kwenda ios 8 lakini nasita sababu tu bado haijapatikana jailbrake ya uhakika Moja ya vitu siwezi kuwa tayari kuvikosa kwa ios ikiwa jailbroken ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Moja kati ya waasisi wa mtandao waPirrate bay Gttfrid Warg amehukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la kufanya hacking na kujihusisha na upakuaji wa mafile kinyume na sheria. Imethibitika kuwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Tigo na Facebook kwa hili mnastahili hongera sana. Kupitia internet.org unaweza kutumia internet BURE kwa baadhi ya website kama BBC, Mwananchi, wikipedia etc. How do I get Internet.org? You...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa wale wanaotaka kwa hamu kujifunza 3d animation na CGi kwa ujumla, nikitengeneza tutorial DVDs kwa lugha ya kiswahili, mko tayar kulipia ( maana wabongo tunapenda vya bure ) and what do you...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, taarifa ni kwamba kama ume install Flashlight App yoyote kwenye smartphone yako au tablet upo katika hatari ya kuchukuliwa data zako muhimu. Nikwamba most Flashlight App unapo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Salam wakuu, Habari za jioni? leo niliingia kwenye google playstore nikitaka kudownload game ya Modern Combat 5, lakini it was such a nuisance baada ya playstore kuniambia kwamba version ya hili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau Wa Computer Nataka Niwaulize Ivi Dsl Modem Bora Wanauzaga Sh.Ngap Na Maduka Gani Wanauza
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari zenu wakuu.. kama headline inavyosema nataka niweke game ya ps kwenye flash disk je inawezekana ikaplay kama navyocheza na cd? na file liwe kwenye format gani? ni steps zipi nifate...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar jf naomba msaada wa kitalamu hivi unawezaje kutambua sm yako ya HTC nice original au kopi kama simu zingine kama nokia
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Habari zenu wanajamii, I have to submit my assignment based on online banking project which includes languages such as html,php,mysql. now i am not good with developing websites... this project...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaani nisaidien kama kuna app yoyote ya kutumiaa, natumia android phone
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…