ethicx
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 311
- 127
Habari zenu wadau, taarifa ni kwamba kama ume install Flashlight App yoyote kwenye smartphone yako au tablet upo katika hatari ya kuchukuliwa data zako muhimu.
Nikwamba most Flashlight App unapo install ina install na malware ambayo inamwezesha developer wa App hiyo kuiba taarifa zako muhimu na kuziuza kwa third party entities kwenye kifaa chako, mfano:-
- Kuwasha GPS na kujua ulipo bila wewe mwenyewe kujua.
- Kusoma SMS na emails zako
- Kuiba credentials zako wakati unafanya manunuzi online
- Kuiba contacts
- Kuiba call records
Chief Engineer of Computer Security Infrastructure Systems.