Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habar wakuu...nnatambua wazi kabisa u wezo mkubwa uliomo ndan ya jukwaa hili , nnaombi. moja kwa yeyote mwenye uzoefu na jinsi ambavyo unaweza kufanya namba flan pekee isikupate hewani hata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawaza kuwa na ka factory kakutengeneza toothpics any idea?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu. antivirus tajwa hapo juu ina load updates hadi 100%,but hai install.Inaniandikia extremly out of date.Computer is at risk
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Dah! Poleni na majukumu ya Leo. jamani Mimi natumia cm aina ya Itel, it 1351.ila inazingua sana upande wa whatsapp kilanikijaribu kufungua whatsapp inanijibu ("Your phone date is inaccurate...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu aisee mie nimepata tatizo dogo kwenye simu yangu ya huawei ascend y300 ni kwamba simu inaonesha kuwa ina charge hata nikiitoa kwenye charge simu inaonyesha kuwa bado iko kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WhatsApp kwa sasa inajipanga kuja na huduma ya kupiga na kupokea simu kupitia application yao. Wanaotumia whatsapp wataweza kupiga simu kupitia kwa walio kwenye contact list zao kama ilivyo sasa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi wana JF. Ninapata tabu, kubadiliaha break disc kwani qauza maduka ya spare hawajui ni ipi, hivyo anaejua wepesi wa kumsaidia muuza duka kunipatia, aniaaidie. Japan version
0 Reactions
1 Replies
814 Views
nauza ipad mini 3 yenye apple id zisizojulikana....kama unataka ntafute,, 0753506840
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Wakuu me bado mshamba kdg kuhusu hz rangi nyeupe na nyekundu kwenye minara ya simu nk,hv huwa zinamaanisha nini wandugu,mbona cjawah ona rangi nyeusi,blue,kijani na nk?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
April mwakani kitu sokoni. Kwakweli mi nishawachoka na kila siku model mpya :confused::confused:
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wakuu naombeni msaada wa link ya kudownload Kaspersky antivirus 2014 au antivirus yoyote nzuri yenye activation keys kabisa
1 Reactions
163 Replies
20K Views
Hi naomba msaada wa ku unlock moderm wifi router ZTE R206-Zimei357549053335795 natanguliza shukurani
0 Reactions
6 Replies
4K Views
natumia min laptop lenovo, sasa nataka nitumie email yangu ya gmail kwenye outlook.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anatumia TING HD anijuze kama option ya kurekodi katika flash inafanya kazi.maana kingamuzi cha AZAM haifanyi kazi.ukirekodi mpaka uicheze humo humo vinginevyo hakuna. nataka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimekutana na tv ya philips14" picha ya tv hiyo hapo tatizo lake ukiwasha taa ya standbuy inawaka ikitaka ku switch tu ina zima na taa ya standbuy ina waka na kuzima na speker utasikia inafanya pu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Compuemter inaishia katikat ninapoiwasha
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Compuemter inaishia katikat ninapoiwasha Yaan haidisplay any icon kwenye desktop natumia win7
0 Reactions
0 Replies
584 Views
wadau mwenye movie tajwa hapo juu,naomba anisaidie, natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni mwenye Ujuzi wa upgrading Android version kwenye Note 2 anielekeze, nahitaji kuapgrade cm yangu.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau et bei sahihi ya simu tajwa hapo juu kwa anayejua, ubora na weakness zake maana kuna mtu anaitakia 180 hapa na mi sina uzoefu nazo, aniarifu nisijekurupuka
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…