Tatizo la whatsapp kwenya simu ya itel 1351

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Dah! Poleni na majukumu ya Leo. jamani Mimi natumia cm aina ya Itel, it 1351.ila inazingua sana upande wa whatsapp kilanikijaribu kufungua whatsapp inanijibu ("Your phone date is inaccurate! Adjust your clock and try again.") nimejaribu kurekebisha SAA na tarehe ila bado tatizo hilo linaendelea kuni kera nawaobeni mnisaidie enyi wataalamu wa Whatsapp.
 
Kwanza hakikisha time zone imeiseti kua Nairobi then ndo useti clock time yako na date pia.
 
Fuata maelekezo ya khalfan56 yuko sahihi.
 
Back
Top Bottom