Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,357
- 2,946
Wakuu me bado mshamba kdg kuhusu hz rangi nyeupe na nyekundu kwenye minara ya simu nk,hv huwa zinamaanisha nini wandugu,mbona cjawah ona rangi nyeusi,blue,kijani na nk?

hizo rangi zinapakwa kwa ajili ya usalawa wa vyombo vya angani, maana rangi halisi ya chuma ni ngumu kugundua kwa mbali. sheria hii kwa hapa Tz inasimamiwa na tcra, mitandao yote ya simu inafuata sheria hii kasoro ttcl tu ndio hawajapaka rangi minara yake. pia minara yote inatakiwa iwe na aviation light (taa nyekundu juu na katikati ya mnara). minara mingi haina hiyo kitu, sababu hawaifanyii periodic maintaince inavyotakiwa, ila mara nyingi mnara ukiukta mpya utaikuta na hizo taa.
Kuuliza co ujinga kijana,..Basi mkuu inatosha,nilikuwa mjinga kwa muda saiz mjanja mimi..shukran!