King'amuzi cha TING HD kurekodi katika Flash

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Kama kuna mtu anatumia TING HD anijuze kama option ya kurekodi katika flash inafanya kazi.maana kingamuzi cha AZAM haifanyi kazi.ukirekodi mpaka uicheze humo humo vinginevyo hakuna.

nataka kingamuzi cha kurekodi mambo mbalimbali na kuyatumia nje ya dekoda hiyo. iwe inarekodi file zilizo katika popular format MP4,MPEG 4,AVI,VOB ,MOV nk
 
navyojua vingamuzi vina record format ambayo ni next to impossible kuicheza kwenye media player nyingine
 
hata hao TING HD ni kama AZAM? sasa wanaposema unaweza record kwa flash wanamaanisha nini?
 
Ina record mkuu kwani haifanyi hivo?
Lkn sasa issue inakuja kwamba hiyo media inachezwa ndani ya receiver tu...

Hata receiver za kawaida za FTA nazo hivo hivo nilijaribu ku google kutafuta S/W ambayo inaweza kubadili format kuwa zile za mp4,av,mkv etc lkn sikuipata na nilianzisha mpaka thread ila hakuna alitoa msaada
 
nafikiri malengo na kinachotolewa ni vitu 2 tofauti.
nilitaka kununua TING kwa kazi hiyo kumbe niache tu
 
Back
Top Bottom