Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nitakuelekezeni moja kati ya namna bora na rahisi kabisa ya kupata audio/mp3 yoyote ile. Waweza kutumia simu yoyote ile yenye intanet au computer. Cha kufanya click link hii hapa chini...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
nimejaribu kuangalia istore tz online naona hawajaweka bei so kama kuna mtu anajua plz help. :A S 12:
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Naomba msaada, programs zipi za kutengeneza websites bila kutumia html, naomba msaada
0 Reactions
21 Replies
3K Views
hi ppal , kwa wale wanaotumia facebook, kwanini inaweza kutokea umeboost post alafu engagement ikachelewa sana kuanza, mfano umeboost asubuh lakin engagement inaanza hata baada ya masaa 11... kama...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
wana jf mwenyeuelewa anipe maujuz.. nmejaribu kufanya rooting kwenye my tecno p5 nmefanya process hii.nmeinstall frama root 1.9.3 nmeopen nikainstall supersu then nikaclick boromir nikaambiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
A.Make Someone Leave a WhatsApp Group B.Force them to Delete your old WhatsApp Conversation C.Crash their WhatsApp WhatsApp ina-crash ukituma message yeyote inayozidi 2k ya memory Just...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Jamani wadau naombeni msaada wenu kati hili, nashindwa kuelewa ipi inatakiwa iwe primary language? au machapisho ndo yasiwe katka lugha ya kiswahil? na je nifanyeje kusolve ili niweze kupata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anaye faham jinsi kureactivate kaspersky anti-virus baada ya kubadili OPERATING SYSTEM(Window) maana nimefanya kila ninachokijua ila imegoma na kabla ya hapo nilikuwa naitumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nime install PES 13 na patch zake hivi karibun kwa io imekua latest ila shida ni moja tu nikitaka cheza exihibition match game lina jifunga, vivyo hivyo nikitaka ingia kwenye Game...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
msaada kupata drivers za microsoft virtual wifi miniport adapter,ninatumia window 7 32 bit
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Nina mpango WA kufanya hizi shughuli za online business ili nijiongezee kipato,naomba kuuliza kwa wataalam walioishafanya shughuli je Ni njia ipi au kampuni ipi Ni best ktk hizi biashara???
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau, Happy New Year, Msaada unahitajika please, Last night nilistuka usiku usingizini kama kawaida maana sio mara ya kwanza. Then hupenda kuangalia saa ngapi kwenye simu, then whatsapp...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Tangazo lajieleza ni pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari, wanajamvi nimekuwa nikipita almost daily kuchek kama suluhu la ku-unclock au kuflash modem HUAWEI E303s-2 limepatikana, sidhani katika wataalamu wa humu watakuwa hawana suluhu hebu...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wanajamii ,samahani kwa kuwasumbua tena nahitaji iPod ya apple ya bei ya chini kamaTSH50,000 je ntapata na INA spec zipi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sim yangu inaishia kwenye maandshi ya tecno katika kuwaka then nimejaribu kurestor kwa kutumia power botton na volume down lakin yanakuja maneno y kichna(siyaelew) kwa anae elewa anijuze...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Anyone can help with me good python Book. Here am back to my Fellow Geek !
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inaniletea massage hii Sasa mi sijasoma waungwana Hii manake nini Msaada; Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…