Ongeza Maarifa kidogo hapa

Ongeza Maarifa kidogo hapa

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Nitakuelekezeni moja kati ya namna bora na rahisi kabisa ya kupata audio/mp3 yoyote ile.

Waweza kutumia simu yoyote ile yenye intanet au computer. Cha kufanya click link hii hapa chini

fullrip.net

au iandike sehemu ya ku-search-ia url. Kisha itatokea page ambayo itataka
1.youtube url ya video ambayo unataka kuidownload kama audio file/mp3. (ngumu kidogo)
AU
2.ile sehemu ya kuweka youtube url waweza kuitumia kwa kusearch kitu unachokihitaji katika hali ya u-audio/mp3. (rahisi)

Kwa no.2 ukishaweka maneno bofya "convert" utaona results nyingi na kwa kila moja utaona button ya kupata hiyo video kama mp3/video, bofya pamepoandikwa "get mp3" kisha utachagua quality ya hiyo mp3 unayotaka na utamalizia kwa ku-edit ID3-TAG na utabofya button inayo someka "START RIPING"

Hapo mp3 yetu itakua tayari na utaona button inayokuwezesha kushusha/download ukiibofya tu mp3 itaingia kwenye kifaa chako.

Mwenye mbinu nyingine usisite kutuwekea.,

Ukitaka android app inapatikana post no. #3
 
Tuendelee...

Zana za kazi unazohitaji ni rahisi sana:-
  • simu yoyote yenye uwezo wa intaneti angalau hata yenye operamin /au hata compyuta
  • bando la intanet hata MB 5 tu zinatosha
  • muda wa hata dakika 3 unatosha

eeh endelea sasa.
 
Hivi wewe unajielewa kweli, look ay you loh kubwa zima akili ndogo mfyuuuu

ndugu yang siku nyingine usitoe maarifa roborobo kwa kutegemea kuedity utangulizi wako,namna hiyo utaonekana bangi.kama una kazi unamaliza kabisa ndo uje hapa..
 
  • Thanks
Reactions: Mpu
Njo tayali


Oya this isn't a right place for you to narrate those old fictional youtube stories in pieces of epsodes like you're on the way to enter on your mom bedroom to steal perfume n then get out with fear of being identified...

Feel like you're on your own room, relax n then post a full thing.
 
Oya this isn't a right place for you to narrate those old fictional youtube stories in pieces of epsodes like you're on the way to enter on your mom bedroom to steal perfume n then get out with fear of being identified...

Feel like you're on your own room, relax n then post a full thing.

leta yako new in complete season.,
 
leta yako new in complete season.,


Puddi however your intro is REALLY bad. We are all mad here, am mad you're mad...
Here are some tips to make a better intro and for us to take you more seriously.

-> Post something about yourself, ie what you do, what you would like to accomplish in JF on member intro section cuz at first you were start on Jukwaa la mahusiano, i don't know what were you thinking.

-> What skills do you currently have and would like to obtain

-> Your name is bad and you should feel bad

-> I don't think you know what it means to be a Tech n Gadgets smartest, Here at JF we are a community that embellishes the qualities that embedded to real "Tech and Geeks" society I can say with almost absolute certainty that you do not know what a "Forum" truly is.

I suggest you to read through the site, starting with the stickies and just learn for a while. It's a good route to go as a tech noobie, but in your head, what do you consider a good thread, why that label ?

Tech is a mindset and the sooner you learn that, the sooner you'll flourish in this site. Here you may find skiddy threads sometimes but learn the fundamentals behind how these skiddy thread means and to hopefully learn to understand them yourself as you will have an understanding of how they truly mean......

For those skidies who are new on this drug "Tech n Gadgets" The ability to accomplish this takes years of learning and will not be learned over night. If you're serious, it will take you a lifetime before you know everything you may believe there is to know about computers, mobile, programming et all.

no nm Stay a while and start reading, start learning, and start expanding your knowledge. This will put you on the path to be the knowledgeable. Your journey starts now.
Good luck

snipa
 
Last edited by a moderator:
Maelezo marefuu simple download app ya videoder kwenye opera min then install kwenye simu yako. ifungue Raritan video yoyote then ichague option itakayokupa nenda hadi uone option ya mp3 select hiyo iradownload ita install settings fulani baada ya hapo uatapata mp3 yeyote kutoka YouTube
 
Maelezo marefuu simple download app ya videoder kwenye opera min then install kwenye simu yako. ifungue Raritan video yoyote then ichague option itakayokupa nenda hadi uone option ya mp3 select hiyo iradownload ita install settings fulani baada ya hapo uatapata mp3 yeyote kutoka YouTube

Kama hutojali waweza kuweka link
 
Back
Top Bottom