Msaada,ku-update laini ya tiGO ya 32k kuwa 64k au 128k

Kibishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
1,139
Reaction score
1,040
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele laini nyingine zimeandikwa 64k au 128k wakati mwingine mpaka 256k.Wengi tunalalamika kuwa mtandao uko slow bila ya kujua kuwa sababu nyingine ni 32k.Sasa basi,tuelimishane jinsi ya ku-update laini ya tiGO kutoka 32k hadi 64k au 128k.Hata maelezo ya ku-update mitandao mingine itasaidia.
 
Some guys wameonesha kuwa Line za Tigo 64K ziko faster kuzidi 32K
Mm sikuwezesha ku research zaidi kujua maana Tigo ni zinga la konokono nilipo

Kwa ushauri kuhus ku upgrade nenda TIGO shop wambie nataka line za contacts back up zimeandikwa 64k hizo figures nyingine sijapata kuziona
 
Hata kama mitandao mingine sawa tu,ukijua huu umejua na ule.
 
TIGO ndo nimeona wana Line hizo tu
Ila mbona Zantel kwa Dar sasa hana competitive inhibitor kabisa interms of bundle price and speed
 
Tuwasubiri waungwana wengine watudadavulie,hapa shida kubwa ni ku-uptodate
 
Yaani tigo wanauza tu line za 32K kama unataka 64K unalipia hela line yako ya 32K inakua blocked afu wana ku switch kuja Tigo contacts back up 64k
 
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele laini nyingine zimeandikwa 64k au 128k wakati mwingine mpaka 256k.Wengi tunalalamika kuwa mtandao uko slow bila ya kujua kuwa sababu nyingine ni 32k.Sasa basi,tuelimishane jinsi ya ku-update laini ya tiGO kutoka 32k hadi 64k au 128k.Hata maelezo ya ku-update mitandao mingine itasaidia.

Ningekuwa mimi ndo wewe, ningejiuliza kwanini zianzie 32K, 64K na 128K
then ningeludi kwenye memory card Kwanini zipo za 32MB, 64MB, 128MB, 256MB

then ningepata jibu labda inaezekana hizo 32K, 64K na 128K ni storage capacity.. Yaani uwezo wa laini kuhifadhi majina pamoja na sms.

Kiongozi don't be fooled with those 64K or 128K, which means nothing than storage capacity ya laini zenyewe.... In KiloBytes

32K zinahifadhi majina 250 kwa kawaida na 64K zinahifadhi majina 500 na hizo 128K zinahifadhi majina kuanzia 600 nakuendeleaaaa.

snipa
 
Last edited by a moderator:

Kiongozi don't be fooled with those 64K or 128K, which means nothing except storage capacity ya laini zenyewe....

32K zinahifadhi majina 250 kwa kawaida na 64K zinahifadhi majina 500 na hizo 128K zinahifadhi majina kuanzia 600 nakuendeleaaaa.

snipa

Hapo nimekusoma,but ni muhimu kuuliza ili wengine wajifunze.
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mimi ndo wewe, ningejiuliza kwanini zianzie 32K, 64K na 128K
then ningeludi kwenye memory card Kwanini zipo za 32MB, 64MB, 128MB, 256MB

then ningepata jibu labda inaezekana hizo 32K, 64K na 128K ni storage capacity.. Yaani uwezo wa laini kuhifadhi majina pamoja na sms.

Kiongozi don't be fooled with those 64K or 128K, which means nothing than storage capacity ya laini zenyewe.... In KiloBytes

32K zinahifadhi majina 250 kwa kawaida na 64K zinahifadhi majina 500 na hizo 128K zinahifadhi majina kuanzia 600 nakuendeleaaaa.

snipa

uko sahihi kabisa
 
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele laini nyingine zimeandikwa 64k au 128k wakati mwingine mpaka 256k.Wengi tunalalamika kuwa mtandao uko slow bila ya kujua kuwa sababu nyingine ni 32k.Sasa basi,tuelimishane jinsi ya ku-update laini ya tiGO kutoka 32k hadi 64k au 128k.Hata maelezo ya ku-update mitandao mingine itasaidia.

labda nikusaidie kiongozi hizo 32k,64k, 128k nk. Hiyo ni storage capacity ya chip kuweza kusave contacts pamoja na sms na wala haihusiani na speed ya internt, speed ya intrnt hutegemea sana ISP wako yaani TTCL,VODACOM,TIGO,AIRTEL,ZANTELNK,au chip switching( kuwekwa kwenye huduma maalum kwa speed maalum),location yako kwa maan ya coverage,na device capabity, nadhan ndicho nikijuacho mimi.
 
Back
Top Bottom