Habari wakuu. Nime install PES 13 na patch zake hivi karibun kwa io imekua latest ila shida ni moja tu nikitaka cheza exihibition match game lina jifunga, vivyo hivyo nikitaka ingia kwenye Game plan.
Nani ameshawai kumbana na tatizo kama ili? na utatuzi wake unakuaje?
Ahasante
Nani ameshawai kumbana na tatizo kama ili? na utatuzi wake unakuaje?
Ahasante