Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Msaada tutani, nataka nijiunge na DSTV. Naomba mwenye info anisaidie kuwa itanigharimu kiasi gani kupta il kitu deck+dish na vinginevyo. Na kama kuna njia ya kupata unafuu. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Just when you thought it was safe to use your computer again after last year's Heatbleed, Shellshock and other computer bugs that threatened your security and just as I predicted in my column of...
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Online payments company PayPal, a unit of eBay, will buy Israeli cyber security company CyActive for $60 million, Israeli media reported. The Globes financial newspaper said the deal is expected...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Tafadhari naombeni msaada nimeshafanikiwa ku-root simu yangu sasa shida imekuja kwenye kupata customrom nimejaribu kusearch kwenye Forum kadhaa lakini nimekosa naombeni msaada wenundugu zangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
To gain AVG Internet Security 2014 or AVG Antivirus Pro 2014 for 1 year you just need to install this special promotion installers AVG Internet Security 2014 32bit...
6 Reactions
41 Replies
11K Views
Hebu tujuzane kwa watu wa android phone sasahiv version ambayo ipo hot ni lollipop 5.0 after kit kat 4.4 kwanini kampuni zinigine za simu zinagoma kuiupdate kwenda lollipop nin tatzo katika hilo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani msaada kuhusu skype nikimpigia mtu kwa skype kwangu inaonyesha kuita lakini kwa ninaye mpigia haioneshi kama inaita na baadae inajitokeza missed call.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear friends, I am conducting a research in determining trend of eCommerce in developing countries. The purpose of this research is purely academic. Information supplied will be treated with...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Today being one year since the disapperance of of the flight MH370, the world with all developements in technology has not been able to tell its whereabouts, not even telling (without doubts) what...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hizi ni simu za kampuni ya Oking. Kwa kutunza chaji ni imara na inaweza kudumu hadi siku 9 kwa mtumiaji mwenye matumizi makubwa. Tatizo inachelewa kutafuta network na huwa inastak mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa anayefahamu ni hatua zipi nizifuate ili niweze kuzuia moja ya folder kutofunguliwa na mtu mwingine kwani sitaki kuweka Password kwenye Laptop ila kwenye folder muhimu ili mtu asije kufuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kuna uwezekano wowote modem yako ya internet unayotumia kwenye computer ikakupa wireless internet (Wi-Fi)?,kwamba modem ikiwa kwenye computer basi iwe source ya wireless internet kwa simu au...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Hii simu haitaki kuinstall Facebook kutoka play store..inasema this application is not installed need some features which this phone don't have.. Pls naomba msaada wataalam..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello, we are calling from Windows and your computer looks like it is infected. Our Microsoft Certified Technician can fix it for you. Sound familiar? Whether you have just been scammed or simply...
1 Reactions
7 Replies
13K Views
Habari wakuu, nimenunua line ya Airtel nakuitumia kwenye simu yangi aina ya Sony Experia Z1 kila napowasha data GPS inajiwasha nikijaribu kuizima baada ya sekunde chache inajiwasha tena...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wadau nawasalimu! mwenye adobe dreamweaver cs6 naomba anisaidie. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini za humu ndani,,mimi ni mwanafunzi wa chuo nataka kujiunga na postpaid ya tigo je nini kinachotakiwa kwa huduma hii jamani wenye uzoef naomben mnisaidie,,
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Drive C imebadilika rangi imekuwa nyekundu wakati programu zilizopo. Hazina ujazo huo.nawezaje kuirudisha katika hali yake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari humu ndani, Nina tatizo la laptop hp compaq presario iliingia maji muda mrefu kidogo, nikaifungua na kuisafisha na vifaa vingi vinafanya kazi nimejaribisha kwenye laptop nyingine, Ram...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu watalamu!! Kwan niliacha simu yangu nikakuta imechezewa contacts picha n.k hazipo Nawasilisha kwa msaada wenu WATALAAM! Nb: Natumia simu aina ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…