jinsi ya kurudisha data kwenye smartphone

Jan 1, 2014
74
11
Kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu watalamu!! Kwan niliacha simu yangu nikakuta imechezewa contacts picha n.k hazipo
Nawasilisha kwa msaada wenu WATALAAM!
Nb: Natumia simu aina ya huawei!
 
Kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu watalamu!! Kwan niliacha simu yangu nikakuta imechezewa contacts picha n.k hazipo
Nawasilisha kwa msaada wenu WATALAAM!
Nb: Natumia simu aina ya huawei!

Hapa nitakupa njia ya kurudisha vitu kama picha,videos na musics..ila kwa contacts sijui...
Njia hii ni kwa kutumia computer...
CHAKUFANYA:
Download application inaitwa Recuver au data recovery wizard na install ktk pc hyo...
kisha chomeka simu yako iliyopoteza hizo data then kama data hizo zilikuwa kwny SD card basi weka USB mode on katika simu (pindi umechomeka usb)
baada ya hapo angalia drive letter ya sd card yako ktk pc (yaani ukifungua windows exploree/my computer utaona sd card yako na herufi flan mbele yake inaweza kuwa :E au :H au :K au yeyote ile)
sasa ukisha imark hyo heruf kafungue ile application niliyokwambia u download then ita mention storage zilizopo ktk pc hapo asa highlight ile sd card yako kwa ku match na ile drive letter uliyo mark mwanzon
then select option ya vitu unavyotaka kurecover kama vile video,music documents nk then click recover
 
Back
Top Bottom