Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna sim ya ideos huawei imeblock na patterns, naogopa kuflash nitapoteza vitu vyangu msaada kwa anayejua jinsi ya ku unlock.
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Naomba msaada namna ya kutatua tatizo hili CM yangu nikipigiwa Simsikii anayenpigia lakin yeye ananiskia kama kawaida sjui nlekebishaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani wana it naomba msaada wa kuunganisha internet kwenye samsung note n7000 kwa lain ya tigo
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari wakuu Naomba msaada wa gama ya dream league nilidownload kama apk but kuna additional zinaitajika... na mimi play store yangu inagoma kufunguka wala kuweka Gmail inakataa Hvyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni epson L800 inatoa wino mweusi pemben mwa picha
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Natumia SAMSUNG either kwa kutumia laptop email kwenda whatsapp au kutumia simu kucukua pics toka email na ku paste kwenye Whatsapp Tafadhali Kwa ufupi namna ya ku -...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana JF najua wazima... naomba msaada laptop yangu inaonyesha "bootmng is missing" na nikijaribu kushusha windows CD inazunguka tu ila haiinyeshi setting za boot menu zaidi ya kurudisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wk end wadau, Kwa wale wapenzi wa music,kama kuna member yoyote humu mwenye dj mixing music compilation,anaweza akai appload hapa na ku share na members wengine. Unaweza ku appload...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A month after a CitiBank analyst predicted that Samsung may sell over 50 million units of the Galaxy S6 and S6 Edge, the South Korean company has said that it is expecting sales of its latest...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Habari za kazi? Juzi nilikuwa nafanya maombi kwenye vyuo mbali mbali vya afya through NACTE online registration sasa nkakosea email, nashindwa kuendelea na chochote. Nawapigia hawapokei nawatumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nime dowload whatsapp na nimeingiza namba yangu ya airtel lakini inshindwa ku connect.Nimejaribu zaidi ya mara kumi,naomba msaada.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
dear Members Last night I lost my smart phone Huawei Ascend Y330-U11 It was installed with a gps tracker app but I do not know how to go about to locate it. Is it possible to trace it and know...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Samahani wakuu, naulizia kuhusu ufungaji wa spika za bass(sub woofer za magari), hivi inahitaji utaalamu wa hali ya juu sana au kawaida tu na kama inahitaji utaalamu sana mambo gani ya muhimu ya...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Bwana mkubwa Google anazidi kurahisisha maisha kwa watumiaji wa Android. Nenda Google Search andika na tafuta 'Find My Phone' ...utapata mtaa kupitia ramani ya Google mapa na pia utaweza hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kesho natarajia kwenda kununua simu ya touch kwenye duka moja wapo la tigo au airtel kwa tigo ni huawei na airtel nadhani ni aitel kama sikosei naomba msaada wa kiutalaamu zaidi niende duka gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naombeni aplication a kudownload video za u tube kwenye androad ..kila ninayodown load mimi naona ni kimeo tu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Akaunti yng ya Facebook imekuwa Disabled. Ina maana siwezi kufungua mpaka nifuate maelekezo yao ya Security Identification. Nikifika sehemu ya kutambua picha na jina lake huyo mtu, nashindwa...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
​Habarini Wanajamii Jana usiku nimeibiwa Smart phone yangu aina ya Huawei Y330-U11. Simu mpaka saa hizi haipatikani ndo niko njiani kuelekeaa Tigo kuripoti na kupata line mpya. Naomba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa yule mzoefu na football games kama PES 2014 naomba msaada Nina pes 2014 na 2015 lakini nikiconnect pads za double shock ili tucheze watu wawili haiwezekani so ambae anajua hilo swala...
0 Reactions
2 Replies
827 Views
jamani naombe msaada wenu wadau nina pes 2014 na pes 2015 lakini zote ninapoconect pad hazichez ninatumia key board tu sijui nifanyaje nisaidieni jinsi ya kuweza kuchezea pad kwenye pes
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…