Tatizo la sauti kwenye Tecno M3, naomba msaada

Feb 16, 2015
63
83
Naomba msaada namna ya kutatua tatizo hili CM yangu nikipigiwa Simsikii anayenpigia lakin yeye ananiskia kama kawaida sjui nlekebishaje?
 
1. angalia volume ya simu yako.
2. jaribu kutumia earphone tuone kama speaker bovu.
 
Back
Top Bottom