uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 12,019
- 28,580
Kesho natarajia kwenda kununua simu ya touch kwenye duka moja wapo la tigo au airtel kwa tigo ni huawei na airtel nadhani ni aitel kama sikosei naomba msaada wa kiutalaamu zaidi niende duka gani ili nipate simu nzuri tigo(huawei) na airtel na ofisi za airtel ziko wapi.