Nimenunua laptop aina ya LENOVO B50-30. Window 7 bit 32.Lakini kinachonishangaza ni kwamba hawezi kucharge phones wala kusoma usb ya phone. Tatizo litakuwa nin maana nimejaribu kudownload na...
Wadau naomba kufahamu Mkulu wa Nchi anatumia kifaa gani kusoma hotuba yake hapa Bungeni, au ndio kameza maana naona kama hasomi popote pale....
Naombaa kujuzwa wanaTeknolojia.
Hv mAh ndio inadetermine simu kukaa na charge muda mrefu? Kwa mfano nikiwa na simu ambayo ni bettery yake ni Li-Ion 2500mAh na nyingine yenye Li-Ion 3000Amh alaf nikaziweka kwenye matumizi...
Jamani , naombeni kujua kwa dar naweza kupata wapi kioo cha flat screen ya sing sung 32 inch kwa pale kariakoo duka gani naweza kupata . Au kama kuna mtu anaweza nipa mawasiliano / namba za simu...
Habari zenu wana jf...simu yangu nilikuwa naicharge ilivyo jaa nikaizima kisha nikabadilisha laini.nilivyo jaribu kuiwasha tatizo inaandika nokia tu mda wote haireti menu ya simu...msaada...
naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi na anayejua anachofanya, laptop yangu imegoma kuwaka kila ikiwaka inaishia kulongo logo ya window na kuzima nd sometime inakubali kuwaka kwenye safe mode but also...
Mara nyingi huwa ina stuck. Nikibonyeza power button huwa inazima na haiwaki tena. Ni mpaka ni-press 'power button' na 'volume up' keys kwa pamoja ili ni-reboot. Hii hutokea hasa ninapokuwa kwenye...
Wakuu nahitaji kununua kununua printer kwa ajili ya office yangu..printer ya karatasi sio t-shirts..nahitaji iwe na minimum spcs:
1. Printing speed angalau 50ppm
2. Colored au Black/White
3...