Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu poleni na majukumu na asante kwa michango yenu kuhusu simu niliyonunua Quality Plaza juzi...nimeamua kuiuza kwa sh 800,000 Mpya kabisa ina accesories zote risiti na warant ya mwaka mmoja...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Ndugu wana JF Ninapokaa kuna shorti nyumba nzima kutoka kwenye earth wiring sijajua tatizo ni nini haswa. Naogopa washa kifaa chochote cha umeme kwa sababu kuna short kubwa sana. Naomba msaada...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nilinunua TV flat screen inch 42 ya LG, Model 42LB550A,takriban mwaka mmoja uliopita. Sasa imepata tatizo la kupoteza picha na kubaki na sauti peke yake. Ukiiwasha inaonyesha picha vizuri kwa muda...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimenunua simu aina ya LG, ila nikitaka kuingia kwenye menu ya tigo pesa au kujiunga na vifurushi inaandika invalid mmu code na inakata hapo hapo. Pili kwenye message inataka maneno 80 tu na zaidi...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Nimekuwa nashidwa kutofautisha cartoon na animation msaada kwa mwenye uelewa na hizi kitu..... cartoons pia ni animation. Sema animation zipo za 2D na 3D za 3D ni hizi za kisasa kama kung fu...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naombeni msaada ni software gani nzuri inayohusika kutengenezea hz application za simu mfano hii. JF.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi natumia nokia lumia 920T, sasa tatizo la hii cm imebadilika lugha kwenye upande wa tigo pesa pamoja na salio la kawaida! yaan kwa mfano nikiuliza salio kwa njia ya *102# jibu linakuja kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari zenu ndugu zanguni natumaia cku inaenda vizur. nyumban na laptop ya dell tatizo lake inapga shoti kidogo ukishika kwenye engo zake na mikono ikiwa imelowa ndo shoti inakua kali. nimekaa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Salaam wakuu! Kwa anaefahamu application inaoweza Ku download games kubwa kama GTA , MISSION IMPOSSIBLE kwenye simu ya ANDROID aniambie Tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Habari za mchana !!! Ni wapi naweza kupata UPS tripelite 6kva 3phase kwa hapa bongo mi nipo Arusha
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Habarini, mwenye kujua ni application ipi inayotumika katika PC kubadili picha halisi na kuwa kwenye muonekano wa cartoon
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari za majukumu wanajamvi, Napenda kufahamishwa je hizi simu tajwa hapo juu inatumia laini moja yani tigo peke yake?Kama ni ndio je kuna uwezekano wa kuunlock i2mie laini zote?Utunzaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Nawezaje pata Whatsap plus ambayo intumika currently which is not banned Msaada wa link tafadhali
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana jamvi naomba msaada wenu maana nime dowload game la mission impossible katika torrents nime-download na setting zote nime-install ila inadai ku download mafail mengine wakati yapo kwenye simu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu naomba nifahamishwe bei ya CD ya game fifa15....
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Nipo vijijini huku na hakuna umeme ila nafikiria ni jinsi gani naweza pata umeme kwa kutumia hii diesel engine ya mashine ya kusagia. naomba msaada kwa anaefahamu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu wanaJf, nina laptop min dell ispirion 1018 imekufa keyboard yake pamoja na pot za usb zinachagua flash only flash zangu tuu ndo zinakubali zingine pamoja na usb ya simu inagoma...
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Apples iOS 9 includes new proactive intelligence, which Apple says it built in a way thats more protective of privacy.Apple After hitches with some updates in years past, Apple mobile users...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Naomba msaada simu yangu ilidondoka kioo kikapata crack Nikabadilisha kwa kuweka kipya ila camera imegoma Kabla ya kubadili kile kilichokua na mpasuko kilikua kinapiga kazi fresh tu na baada ya...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Habari wakuu! Natumai wataalamu wa humu ndani watanisaidia. Nililetewa zawadi kutoka china, simu aina ya HTC desire 816t. Specifications zake zinaonesha ina uwezo wa GSM, WCDMA mpaka 4G LTE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…