Laptop yangu ya dell xp professional inapiga shoti

Laptop yangu ya dell xp professional inapiga shoti

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,786
Reaction score
3,068
habari zenu ndugu zanguni natumaia cku inaenda vizur. nyumban na laptop ya dell tatizo lake inapga shoti kidogo ukishika kwenye engo zake na mikono ikiwa imelowa ndo shoti inakua kali. nimekaa nkajiuliza tatzo nn cjapata jibu. nkasema niende hapa iringa mjin mmmh nkaona watanila noti zangu. nkasema hapana na mafund nyumban Jf ngoja niombe wanisaidie.
so jaman naomben mnisaidie nifanyeje kama inafaa ku change motherbody yake ni fanye ivo maana ndo naihofia ni weak. pia iko slow ina stack mara kibao. betri yake nayo kadri cku znavosonga inapungua uwezo. nliiwekea antivirus na kaspersky. ila hii nayo nimeichoka nataka ya bure sasa. nime install window 7 ultimate,
naomben msaada wakuu.
 
Dell Laptop nyingi sana body yake imetengenezwa kwa bati na kupakwa rangi ya kuzuia kupitisha umeme. Tatizo kama hilo hutokea pale hiyo rangi ikichubuka na kubaki bati tupu. Tofauti la Laptop zingine ziliotengenezwa kwa plasiki.
 
Pamoja na kuwa na body ya bati, earyhing circuit pia huchangia. Mfano kama ile plug ya adaptor ya laptop yako ina pini mbili tu manake inakosa earthing pin ambayo huwa inarudisha umeme unaoenda kwenye body ya kifaa kwa bahati mbaya na kuuelekeza ardhini.
Kama plug ina pini tatu basi tatizo lipo kwenye earthing ya jengo lenyewe pengine inashindwa kufikisha umeme ardhini au sehemu ilipochimbiwa earting rod ni pakavu sana hivyo umeme unashindwa kusharabiwa ardhini
 
Vaa kandambili wakati unatumia. Usiwe bear feets
 
Kama walivyoshauri wengine hapo,tatizo la short mara nyingi ni material yaliyotumika sio plastic alafu inawezekana earthing katika nyumba yako au hiyo plug unayotumia pia!lakini fikiria kununua nyingine maana windows xp kama sijakosea ni toleo la mwaka 98 sasa watu wapo window 10!kubadili motherboard inaweza usitatue tatizo lako
 
Kuhusu pc ku-stack kuna mambo mengi yanayoweza kuchangia
1. Temporary files
2. Virus
3. Cookies kwenye browser
4. Low memory space
4. Low processor speed
5. Automatic Startup programs when windows start
6. Antivirus kuwa out dated e.t.c
So make sure una deal na hayo mambo yote
 
Kuhusu Pc kupiga shoti jaribu kucheki adapter yako.... Angalia kama ni ya pin 3 check pin ya earth kama inafanya kazi vizuri...
Ukiona hakuna mabadiliko mtafte IT yeyote aliye karibu nawe kwa ushauri zaidi na sio mafundi wa mtaani
 
Kuhusu Pc kupiga shoti jaribu kucheki adapter yako.... Angalia kama ni ya pin 3 check pin ya earth kama inafanya kazi vizuri...
Ukiona hakuna mabadiliko mtafte IT yeyote aliye karibu nawe kwa ushauri zaidi na sio mafundi wa mtaani

Please msiseme IT, honestly watu wa Information technology hawahusiki na computer maintanance, hata kufundishwa hawafundishwi kabisa maintanance. Hilo neno futeni kabisa
 
Kuna kajiwaya ndani ya pc ambako huwa kana regulate mzunguko wa umeme na kuzuia shot katika mother board........haka kawaya huwa kanatokea somewhere kwenye motherboard na kanakuwa na pini ambayo inajiatach kwenye cover ya pc kwa ndan.......kama utakuja Dar ......nenda kariakoo uhuru computers watakurekebishia.......tatizo si adapter......ingekuwa ni adaptor basi zingekuwa zinakuja na precaution ya shot kwa zote za nyaya mbili
 
Back
Top Bottom