Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Habari za majukumu wanajamvi,
Napenda kufahamishwa je hizi simu tajwa hapo juu inatumia laini moja yani tigo peke yake?Kama ni ndio je kuna uwezekano wa kuunlock i2mie laini zote?Utunzaji wa chaji ukoje na ubora wa kamera ukoje