Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu mwenye kioo cha pixel 7 pro used au mpya nahitaji kununua. Anicheki kwa 0624373709
1 Reactions
3 Replies
782 Views
Habarini wadau wa Tech.. Naomba tushirikishane je ni site zipi za AI ambazo ni free kutumia, ambazo hauhitaji kulipia Asanteni
0 Reactions
6 Replies
505 Views
Ndugu wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya ijumaa muda wa saa nane dakika ishirini za mchana nilipokea ujumbe kutoka airtel wakinishukuru kwa kutembelea duka lao huduma za kwa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa husika na mada tajwa hapo juu. jana nimeibiwa spika ya soundba yangu. sasa najiuliza je dukani naweza nikaipata hii spika au ndo hivyo tena ?imepotea mpaka ninunue soundba...
0 Reactions
8 Replies
441 Views
Nimedownload movie zenye 4K kwenye laptop ila nikirusha kwa flash inagoma licha ya flash kuwa na ukubwa wa 64gb. Naombeni muongozo Cc: Chief-Mkwawa
1 Reactions
8 Replies
536 Views
Wakuu, salaam Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality? N.B: Exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
  • Question Question
Kuna uwezekano wa kufuta taarifa zangu zote kwenye internet isomeke sijawahi kutumia internet kabisa?
3 Reactions
10 Replies
484 Views
Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi 1. perfomance 2. Hosting cost 3. Maintenance Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
0 Reactions
1 Replies
369 Views
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria...
72 Reactions
456 Replies
83K Views
Watu wengi wanalalamika speed ya kubrowse ni ndogo, hawezi kuangalia video online, wengine wakipiga viber japo speed kubwa lakini hawasikilizani, kuna wengine video chat na hata wacheza magame...
40 Reactions
76 Replies
21K Views
Nilifata meseji kwenye inbox yangu ya gmail sasa nataka kurudisha maana kuna attached document nazitaka sana
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Habari za Asubuhi ndugu zangu, Najaribu kulog in kwenye Gmail yangu ya zamani lakini sikubuki password na namba ya simu niliyo tumia zamani haipo Tena kwa hiyo nikiomba rest PIN NUMBER...
1 Reactions
4 Replies
557 Views
Wakuu nataka nifungue account huko sasa inagoma pale kwenye kutuma verification code, je, hapo nifanye ujanja gani wakuu? Kama kuna mtaalam msaada please.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
We are looking for a software developer and a data engineer who can perform the following functions *Design and implemented ETL pipelines for processing low-resource language data(Yoruba) ●...
3 Reactions
3 Replies
658 Views
Anonymous
Airtel kuna kitu wanaendelea kuwafanyia Wateja wao kwenye hizi router zao za 5G siyo kizuri. Wanakwambia kuwa internet ni unlimited ila ukitumia kwa siku 20 internet wanaishusha speed, mfano mimi...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
ENDAPO ikitokea kampuni, mtu au taasisi yoyote duniani itayobuni kifaa cha mkononi mfano na simu(phones) (Smartphones) kitachokuwa na uwezo wa kutumika Katika mambo ya internet tu Bila kusupport...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara. Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika...
1 Reactions
6 Replies
831 Views
Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search...
4 Reactions
8 Replies
999 Views
Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile. Printer mpaka inatambuliwa na...
0 Reactions
5 Replies
476 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…